valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Habarini zenu hapa ndani,
Nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu.
Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya ujauzito hadi siku mtoto atakapokua na umri wa kutosha kuishi na baba yake.
Nature ya kazi yangu ni ya kuhama mara kwa mara (customs officer, TRA) hivyo ni ngumu ku settle na kuanzisha familia kwa sasa.
NB; ni muhimu awe mrefu (at least 5.5feet) na awe kwa rangi mweupe au chocolate. Hiyo ndo mbegu natafuta.
Ambae yupo interested anicheki PM.
Yaani kuripoti juzi tu leo unataka mtoto!