Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea nyama kidogoNATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA
Ongeza nyama nyama Maelezo mafupi bwnaaNATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA
Alivyomvivu hadi kutembea huyo,sijui🤨Ongezea nyama kidogo
dahAlivyomvivu hadi kutembea huyo,sijui🤨
Dodoma sehemu Gani? Wilaya, kata...!?NATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA
Popote utakapo kuwa but Iwe dodomaDodoma sehemu Gani? Wilaya, kata...!?
NI Dodoma Tu?? Morogoro vipi??NATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA AMBAE MWENYE ENEO NA NIA YA BIASHARA HII MTAJI NINAO NA MASOKO PIA
Fursa hiyo imebisha hodi ifungulieOngeza nyama nyama Maelezo mafupi bwnaa
Hata morogoro kama Upo na nia na biashara Hii nichekNI Dodoma Tu?? Morogoro vipi??
Tunakuja huku andaeni mitaji😊NI Dodoma Tu?? Morogoro vipi??
Morogoro kuna mtu ana ekari zaidi ya ( 50 ) hamsiniNATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA AMBAE MWENYE ENEO NA NIA YA BIASHARA HII MTAJI NINAO NA MASOKO PIA
🤣🤣🤣 Unautaratibu wa kusoma Comment za juu manka?
Fursa ikikuita Shtukaa. Then Kaa mguu sawa.🤣🤣🤣Fursa hiyo imebisha hodi ifungulie
Tapeli huyo. Una mtaji what else do you need?Ongeza nyama nyama Maelezo mafupi bwnaa
Quality thing sio Rahisi hivyoTapeli huyo. Una mtaji what else do you need?