Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

Baba ulizeni na sio kutupana maneno hapao taji sio mamilioni wala nini mtaji ni akili na pesa kiasi kit aka hi wezesha biashara kazi kuanza na kuiendesha Ndio maana tunahtaji wenyewe maeneo
Nna jamaa yangu ana mabanda yake huko miyuji kama unaweza kuyalipia kodi nikuulizie maana kwa sasa yeye hayupo huko.
 
NATAFUTA MDAU WA KUSHIRIKIANA NAE KUFUGA KUKU DODOMA AMBAE MWENYE ENEO NA NIA YA BIASHARA HII MTAJI NINAO NA MASOKO PIA
Nina eneo Nala karibu na ring road junction pale.
Lakini halina makazi wala jengo lililo kamilika.
Kuna nusu boma lililo ishia usawa wa madirisha.
Eneo ni kubwa unaweza ukachimba kisima.
Kama patakufaa, njoo PM tuanze mazungumzo.
 
Back
Top Bottom