Beatus Alex
Member
- Jul 26, 2016
- 43
- 33
Habarini wana jamii forum, Natumai mko poa na tunaendelea salama na majukumu ya kujenga Taifa.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 27 mwenye elimu ya ngazi ya ordinary diploma in Accountancy (diploma ya uhasibu) Nimebahatika kufanya kazi katika kampuni ya mikopo kwa kipindi cha miaka mitatu 3 mpaka sasa.
Nina mengi yenye faida juu ya hii biashara na pia nina uzoefu wa kutosha kuhusiana na kazi hii kwa mapana zaidi.
Ni ombi langu kwenu kwa yeyote mwenye nia na mtaji wa ku support idea yangu ya hii biashara.
Niko Tanzania, mbeya
Phone no. 0628667612
Niko seriously sana.
Karibu tujuzane zaidi.