Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

Hii uliipata wapi mkuu Mimi mzee wangu anafanya hizi mambo ana Degree ya M.D otherwise ni sheria kuwa kwenye account walau uwe na amount kuanzia 30mil pia usiwe na mkopo wa kuadaiwa na uoneshe pesa yako umeipataje hapo ni katika harakati za kusajiliwa

Na atakaetaka anifuate nimpe no ya mzee PM maana hapa siwezi kuweka ninajua nae ni mwanachama wa JF miaka mingi so hanijui natumia IG gani namimi sijui yy anatumia IG gani ila ukitaka nitakupa namba na ukimpgia mwambie nimepewa na mwanao hii namba ili unipe uzoefu najua atakusaidia ni MTU poa sana kikubwa usimtajia IG yangu ya JF hata akijua umepewa JF ila asijue ni IG gani over
Kumbe hii ndio account yako eeeh ! Basi sawa
 
Back
Top Bottom