Beatus Alex
Member
- Jul 26, 2016
- 43
- 33
- Thread starter
-
- #41
Pole Kaka, uende sehemu uliomo haikua rafiki na iyo biashara.Mi nilifungua ikanishinda
Karibu nikuhudumie kama utahitaji kusajili kampuni, haraka na gharama nafuu.Mi nilifungua ikanishinda
Hongera mkuu, ukipata mfadhili wa kuweka hiyo pesa kuanzia 20M kama sheria inavyotaka, mtanipa kazi ya usajili wa kampuni na ufuatiliaji wa kibali cha BoT.
Nitafanya hayo kwa gharama rahisi kabisa.
0755963775 WhatsApp
Mkuu kwa biashara ya ukopeshaji ama microfinance ni takwa la lazima kisheria kuwa na leseni/kinali cha BoT na kina mashart na utaratibu wake wa kukipata.Nadhani hapa BOT hawahusiki kwenye biashara hii maana risk ni pesa zako wewe mwenyewe,ingekuwa unadeposit pesa za watu hapo ndio BOT wangehusika
Ukiwa serious share number zako za whatsapHabarini wana jamii forum, Natumai mko poa na tunaendelea salama na majukumu ya kujenga Taifa.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 27 mwenye elimu ya ngazi ya ordinary diploma in Accountancy (diploma ya uhasibu) Nimebahatika kufanya kazi katika kampuni ya mikopo kwa kipindi cha miaka mitatu 3 mpaka sasa.
Nina mengi yenye faida juu ya hii biashara na pia nina uzoefu wa kutosha kuhusiana na kazi hii kwa mapana zaidi.
Ni ombi langu kwenu kwa yeyote mwenye nia na mtaji wa ku support idea yangu ya hii biashara.
Niko Tanzania, mbeya
Phone no. 0628667612
Niko seriously sana.
Karibu tujuzane zaidi.
Asikuumize kichwa huyo, anaishi kwa shemeji yake.Kijana wa kwanza wa hovyoo kasha jitokeza kwenye post zenye tija.
Hapa tu ndo napoidharau jf, hivi vigezo vya umiliki we umevitoa wapi? Shareholder lazima awe na degree? Do your homework! Hakuna kigezo Kama hiki hapa Tanzania, speaking from experience!Muweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.
0757867612Ukiwa serious share number zako za whatsap
Jamaa kaongelea degree inahitajika kwenye upande wa kupata leseni BoT sio kwenye kusajili kampuni brelaHapa tu ndo napoidharau jf, hivi vigezo vya umiliki we umevitoa wapi? Shareholder lazima awe na degree? Do your homework! Hakuna kigezo Kama hiki hapa Tanzania, speaking from experience!
inahitajo mtaji kiasi gani chq kuanzia na je ni maheneo gani serikalini unatakiwa upite kama sheria yaani zile taratibu za usajiriHabarini wana jamii forum, Natumai mko poa na tunaendelea salama na majukumu ya kujenga Taifa.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 27 mwenye elimu ya ngazi ya ordinary diploma in Accountancy (diploma ya uhasibu) Nimebahatika kufanya kazi katika kampuni ya mikopo kwa kipindi cha miaka mitatu 3 mpaka sasa.
Nina mengi yenye faida juu ya hii biashara na pia nina uzoefu wa kutosha kuhusiana na kazi hii kwa mapana zaidi.
Ni ombi langu kwenu kwa yeyote mwenye nia na mtaji wa ku support idea yangu ya hii biashara.
Niko Tanzania, mbeya
Phone no. 0628667612
Niko seriously sana.
Karibu tujuzane zaidi.
Kisheria:inahitajo mtaji kiasi gani chq kuanzia na je ni maheneo gani serikalini unatakiwa upite kama sheria yaani zile taratibu za usajiri
20M na kuendelea Kaka, kwa biashara ya kuanza na yenye uhakika wa ku run profit ya uhakika.Mwekezaji anatakiwa kuja na kianzio/mtaji kiasi gani?
Mtaji ni kuanzia 20M.inahitajo mtaji kiasi gani chq kuanzia na je ni maheneo gani serikalini unatakiwa upite kama sheria yaani zile taratibu za usajiri
Unaweza kumuita mtu wa ovyo kumbe wewe ndio wa ovyo.Kijana wa kwanza wa hovyoo kasha jitokeza kwenye post zenye tija.
Capital kiasi gani mkuuAsante Kaka, awekeze pesa au anikopesha mtaji coz kikubwa ni pesa ya ku run iyo biashara mkuu.
Karibu Kaka, Whatsap no. 0757867612Capital kiasi gani mkuu
Kwa io brela watakusajilia kampuni usie na degree huku wakijua kabisa utanyimwa leseni ukienda BOT??? Kiufupi hiko kigezo hakipo kwa mmilikiJamaa kaongelea degree inahitajika kwenye upande wa kupata leseni BoT sio kwenye kusajili kampuni brela
Elimu sio kigezo kwa upande wa kusajili kampuni BRELAKwa io brela watakusajilia kampuni usie na degree huku wakijua kabisa utanyimwa leseni ukienda BOT??? Kiufupi hiko kigezo hakipo kwa mmiliki