Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

Mkalapa boy

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
84
Reaction score
172
Hbr kwenu wadau.

Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo.

Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka.

Asanteni
 
Vitunguu ukaa muda gani mpaka kuvunwa?
Je utakuwa tayari tuifanye hii mkoani Morogoro.?
 
Kwa kilimo bora na endelevu, pia nakukaribisha kutumia mbolea ya kilimo hai inaitwa NutriPlant Organic Plus Fertiliser ni mbolea nzuri iliyo katika hali ya kimiminika kuna chupa za ujazo wa lita moja na 100mls. Ambapo ya lita moja inauzwa 120000 na ya 100mls inauzwa 25000, mbolea hii nimeshawapelekea wakulima wa vitunguu kule Lumuma wameipenda sana na ndiyo wanayoitumia. Karibu sana naamini utaifurahia.
 
Una

unapatikana wapi? mwasiliano
 
Aliyetayari kuwekeza kwenye kilimo hiki anicheki DM tupange mipango, project itafanyika mkoa wa morogoro
 
Anahitaji eneo la kilimo cha bustani Nina eka 2 Dumila Morogoro liko jirani kabisaa na barabara, Lina kisima Cha maji hapohapo shambani. Unaweza kulima chochote.
 
Back
Top Bottom