Mkalapa boy
Member
- Aug 19, 2021
- 84
- 172
Ndiyo mkuu nalima wilaya ya RuangwaWewe ni mzoefu na hicho kilimo?
Na location ni wapi panafaa?
Eneo lipo mkuuUnamiliki.eneo la kulima?
Tutafutane mkuu nope contact tujadili namna ya kuyajengaEneo lipo mkuu
0710881879Tutafutane mkuu nope contact tujadili namna ya kuyajenga
Miezi 3Vitunguu ukaa muda gani mpaka kuvunwa?
Je utakuwa tayari tuifanye hii mkoani Morogoro.?
unapatikana wapi? mwasilianoKwa kilimo bora na endelevu, pia nakukaribisha kutumia mbolea ya kilimo hai inaitwa NutriPlant Organic Plus Fertiliser ni mbolea nzuri iliyo katika hali ya kimiminika kuna chupa za ujazo wa lita moja na 100mls. Ambapo ya lita moja inauzwa 120000 na ya 100mls inauzwa 25000, mbolea hii nimeshawapelekea wakulima wa vitunguu kule Lumuma wameipenda sana na ndiyo wanayoitumia. Karibu sana naamini utaifurahia.
Naweza kujoinTutafutane mkuu nope contact tujadili namna ya kuyajenga
Morogoro wilaya gani kijiji gani?niangalie uwezekanoAliyetayari kuwekeza kwenye kilimo hiki anicheki DM tupange mipango, project itafanyika mkoa wa morogoro
KilosaMorogoro wilaya gani kijiji gani?niangalie uwezekano
mchanganuo wa gharama zote makadirio ni kiasi ganiAliyetayari kuwekeza kwenye kilimo hiki anicheki DM tupange mipango, project itafanyika mkoa wa morogoro