Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

Unaanza kumtisha badala ya kumtia Moyo, Unaelewa maana ya Risk Taking?wewe ndio utamfanya abaki na hayo magofu mpaka mwisho wake.Sasa kisa Cha kuangalia magofu Hadi unakufa ni Nini wakati alternative kibao,wewe lazima ni muajiriwa ndio mnakuwaga waoga waoga Sana,hela haigopwi!Mwache achukue hela akili itachangamka kwa Kasi ya rejesho mbona mjini ndio wengi tunaishi na marejesho

Kaka mleta Uzi,ngoja nikupe ushauri wa kiwiziwizi kidogo,Katika hizo nyumba zako chagua moja ambayo hata ikipotea hautaumia Sana,weka nyaraka zako vizuri,ingia benki,chukua hela unayoona inaendana na mahitaji yako,ukipata Pesa fanya project zako fasta uanze marejesho,Incase Sasa ukafail kurudisha rejesho benki watapiga mnada nyumba utakuwa umeiuza Kwa njia rahisi...
 
Sasa chagua Amani,au kukaa na magofu ambayo siku ukifa familia watayauza au kupambania ndoto zako kwa namna yeyote
 
Kifupi wewe ni mjinga, miradi mitano hakuna uliokamilika, unaendekeza tamaa au kuiga watu ndio maana ukiona kitu kipya unakirukia. Wajasiriamali hawako hivyo badilika.
Nashukuru asante mkuu. Mradi wa apartment umekamilika kuna wapangaji wapo ambayo una jumla ya familia 6 ambayo upo katika mfumo wa chumba self sebule na kijiko. ambazo zipo 3(familia 3) pia zipo self mbili ya chumba kijiko na kichoo. na cha mwisho kipo chumba na kijiko tu. hizi zimekamilika na zina watu kabisa. Lakini hapo hapo niliongeza apartment mbili za chumba jiko na sebure pamoja na choo cha ndani.
Hizi mbili bado finishing kama nilivyo zieleezea hapo juu
 
[emoji3516]
NAUNGA MKONO HOJA-
INGAWA BAADHI YA VIJANA WAZEMBE WATASEMA "Hii ni Chai!!!"

HAO WAPUUZIE MKUU!!!
 
Tayari nishapata wazo la kufanyia hizi pesa zanguπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»nina pesa lakini sikujua nianzishe mradi gani
 
Nikweli mwanzo nilikuwa na biashara zangu ila nipo jiingiza kwenye mikopo ndipo upo ulipo badilika kwenye marejesho, ilinibidi kuilipa bank kupitia marejesho. Kwahiyo nikasima kuendelea kuendeleza miradi yangu hadi ikafikia kuuza shimo langu la mchanga pamoja na mashine yangu ya matofali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…