Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Unaanza kumtisha badala ya kumtia Moyo, Unaelewa maana ya Risk Taking?wewe ndio utamfanya abaki na hayo magofu mpaka mwisho wake.Sasa kisa Cha kuangalia magofu Hadi unakufa ni Nini wakati alternative kibao,wewe lazima ni muajiriwa ndio mnakuwaga waoga waoga Sana,hela haigopwi!Mwache achukue hela akili itachangamka kwa Kasi ya rejesho mbona mjini ndio wengi tunaishi na marejeshoHuu ushauri ogopa tena ogopa jichanganye uone Bora ubaki unangalia magofu yako una amani kwenye nafsi yako , wenzako Wana biashara kubwa nk Ila hawana furaha wanawaza marejesho tu wanakula vizuri ila hawasikii radha ya chakula wanalala pazuri ila hawana usingizi Sasa jichomeke uko bank utarudi hapa jamvini ukweli hausemwi kuwa BANK KUZURI KUKOPA ILA SI KWAKILA MFANYA BIASHARA
Kaka mleta Uzi,ngoja nikupe ushauri wa kiwiziwizi kidogo,Katika hizo nyumba zako chagua moja ambayo hata ikipotea hautaumia Sana,weka nyaraka zako vizuri,ingia benki,chukua hela unayoona inaendana na mahitaji yako,ukipata Pesa fanya project zako fasta uanze marejesho,Incase Sasa ukafail kurudisha rejesho benki watapiga mnada nyumba utakuwa umeiuza Kwa njia rahisi...