Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

Wanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania.

Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza.


Karibu singid.
Haya makosa yalini gharimu kuwa makini sana unapofanya investment uwe tayari una uhakika wa kukamilisha vinginevyo hata ulichokianzisha kitaharibika bure
 
Punguza tamaa, inaonekana unatamaa ujamaliza hiki unakimbilia hiki kwa haraka haraka hata ukipata mbia kakupa pesa utenda anzisha jambo jipya,

Ushauri wangu uza miradi mitatu kamilisha miwili
Inawezekana siyo inshu ya tamaa ila alikuwa analamba asali,mirija imekata ghafla huku miradi mingi aliyoianzisha kwa pamoja ndiyo Kama hivyo haijaisha. Katika Hali ya kawaida mtu hwezi kuanzisha miradi mingi hivi alafu ikakwama kwa pamoja.

Nawaza tu,no hate.
 
Punguza tamaa, inaonekana unatamaa ujamaliza hiki unakimbilia hiki kwa haraka haraka hata ukipata mbia kakupa pesa utenda anzisha jambo jipya,

Ushauri wangu uza miradi mitatu kamilisha miwili
Mkuu naomba nieeleze jambo moja ala kama utabaki na msimami wako huu basi nitaendelea kueshmu mawazo yako mkuu.

Kwanza naomba ieleweke nilikuwa ninamtaji mkubwa wa matofali kwa sababu nilikuwa nafyatua mwenyewe,pia ninashimo la mchanga pia ninauza cement na matofali. Kwa kipindi hicho
Kwahiyo ujenzi si shida ilikuwa,ndiyo maana umeona nimeweza kujenga ila finishing ndiyo nimeshindwa na wala sikutegemea kushindwa ila kutokana na changamoto kwa sasa niliyonayo.

Kwahiyo faida yangu niliyokuwa napata napeleka kwenye ujenzi na kuendesha familia. kwa hiyo nilitumia fursa ya kupata raw materials ya ujenzi kwa ulaisi niliweza kumaliza kujenga. Binafsi nilihitaji kumaliza ndoto zangu kwa kutumia kitu nilichokuwa nacho kwa muda huo sikutaka kusubiri hadi nipate kitu ambacho sikuwa nacho kwa muda huo.

Kwa vile ninaliona ninamtaji mkubwa wa tofali nikaona niyatumie kukamilisha miradi yangu niliyonayo ili kulinda ardhi ala mambo mengine taratibu taratibu kwanza.

Kama nilikosea basi nahisi pasipo kujua kipi ni kipi kwanza kutokana na uelewa wangu. Asante
 
Wanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania.

Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza.

1)Mradi wa kwanza kumalizia apartment mbili ambazo bado plaster, wiring ya umeme,madirisha ya vioo na mirango ya ndani.

2)Mradi mwingine ni wa ukumbi wa kuangalia mipira ambao bado kufunika,kupiga plaster pamoja na kusakafia. Ambao unao uwezo wa kuingiza watu 100 hadi 150. madirisha na mirango ipo tayari na nimekwisha ipachika.

3)Mradi mwingine ni wa kufunga mashine mbili wa kusaga nafaka pamoja na kinu chake cha kukobolea, na mashine nyingine ni mashine ya kukamua alizeti ili kutoa mafuta na kuyauza. eneo lipo tayari na jeongo lipo tayari kobado kumalizia ujenzi na kulitanua ili kupata sehemu ya kuhifadhia magunia ya alizeti na mashudu ambalo linahitaji kuongezea ujenzi. Pia kuna na ekari 25 kwa ajiri ya kupata raw materials ya kiwanda.

4)kumalizia ujenzi wa nyumba ambayo nilifungua ili kuifanya kuw shule ya watoto wadogo kindergarten class ambayo bado kuifunika lakini ina vyumba vinne pamoja ofisi ya walimu kijiko pamoja na ofisi ya mwalimu mkuu ama Mkurugenzi. imebaki kuifunika na kuweka milango na madirisha pamoja na kuchimba shimo la choo pamoja na vyumba vya choo. hapo pana chemchem ya maji kwahiyo maji si shida

5) Mradi mwingine ni wa ujenzi wa mabwawa ya samaki eneo lipo tayari pana ekari 5 pia pana source ya maji ya chini nilikwisha anza kuyatafuta maji ya chini lakini si kumalizia nilipata shida binafsi.

6) Pia kuna frame za maduka inahitaji marekebisho kidogo ili watu waingine na biashara iendelee.

Kama kuna mtu ambaye anaweza kunishika mkoo tafadhali namuhitaji sana ambaye yupo seriously .
MAWASILIANO YANGU 0710468496
0717568496
EMAIL. emkwama@gmail.com
Karibu singid.
Salute kwako ....nenda NBC watakusaidiaaa.....chagua mradi mmoja au miwiliambayo itazungusha pesa .....mfano machine kusaga na kuamua alizeti....hilo naenda mpira pambana uezeke kabla August....league zote zitaanza tena .....utapata hela zako badilisha ziweke bank mzunguko uonekane....I'll ukopesheke
 
Huu ushauri ogopa tena ogopa jichanganye uone Bora ubaki unangalia magofu yako una amani kwenye nafsi yako , wenzako Wana biashara kubwa nk Ila hawana furaha wanawaza marejesho tu wanakula vizuri ila hawasikii radha ya chakula wanalala pazuri ila hawana usingizi Sasa jichomeke uko bank utarudi hapa jamvini ukweli hausemwi kuwa BANK KUZURI KUKOPA ILA SI KWAKILA MFANYA BIASHARA
Nashukuru kwa ushauri mkuu,ukweli nilikwisha wai kukopa kiukweli nilipata shida nasa kwenye marejesho. Nilipo maliza nikajikuta nikauza mashine yangu ya tofali pia nikauza shimo langu la mchanga ili kumaliza marejesho.

Ila kuna mdau hapa amesema kuna bank inahitwa maendeleo sijajua wao wanautaratibu gani.
 
Back
Top Bottom