Naitwa Abely,ni mkazi wa iringa,nina kipaji cha uandishi wa riwaya na mashairi,ninatafuta mdhamini ambae yupo tayali kuiendeleza kazi yangu,mimi mwandishi ambae najiamini kuwa naweza na endapo ntapata mtu wa kukiendeleza kipaji changu na amini nitakuwa mwandishi mkubwa sana hapa Tanzania.
Zifuatazo ni baadhi ya riwaya hizo ambazo nimeandika ,'CHONGO NDIYE MFALME',PAZIA JEUSI',na shairi la JIPU LIMEPASULIWA'uandishi wangu umejikita sana kwenye siasa,uchumi,na jamii ya Tanzania pia uhuru wa mwandishi umezingatiwa,kwa alietayari kunithamini.
Tuwasiliane kupitia 0763175935,pia wenye maoni kuhusu uandishi wangu mnakaribishwa maana hakuna mwandishi mkamilifu