Naitwa abel kikimba ,nimkazi wa Iringa,natokea katika familia yenye hali ya chini sana kiuchumi, kias kwamba kwa elimu ya sekondari nimejisomesha hadi hapa nilipofikia,kwa sasa nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada,ada na michango mingine kwa mwaka wa kwanza nimetafuta mwenyewe.
Natafuta msamaria mwenye mapenzi mema ambae atakua tayari kunilipia ada kwa mwaka wa pili na michango mingine. Nipo tayar kufanya kazi yoyote kwake wakati wa likizo na nikihitimu mafunzo yangu mpaka ntakapoajiliwa pia npo tayali kumsikiliza,kwa alie tayali tuwasiliane kupitia 0763175935