Natafuta members!

Natafuta members!

General B.

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote!
 
Mfano sekta ipi mkuu. Nambie ili tu shee.pia napenda ku share
 
sor, ar u he or SHE? jst wana know ili iwe rahisi kukusaidia..
 
We ni he au ni she? Uko wapi? Unafanya nini? Unataka kushea nini?
 
Hebu ni PM tuanze kushea aidia zetu kiongoze! Siunajua jf wote ni ndugu!!!!
 
Nenda new member, ukaribishwe, umewahi kuja kwenye forum hii, huku ni threads tu. Ila welcome
 
Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote!



Members Utapata within time ... usijali wala usiwe na haraka... patience...
 
Back
Top Bottom