Shemasi 3rd
Member
- Jun 1, 2024
- 98
- 104
Kama title ya kitabu tu Ina typing errors, je ndani..?!Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam...
What are those deliverables you expect to receive from him/erHabari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam...
Samahani mkuu nimeandika kiswahili sanifu kabisa " Natafuta manager wa kuni simamia mimi" Amani ya bwana iwe nawe🙏What are those deliverables you expect to receive from him/er
How much you will pay
What are the key responsibilities
Kabla huja comment jiridhishe sana mkuu najua nacho kifanya mbaka nafikia level ya U shemasi sijarushwa tu nimepitia hatua zote. So hakuna Typing error hapo Asante.Kama title ya kitabu tu Ina typing errors, je ndani..?!
Ongea na bwana akumenej saasa!Samahani mkuu nimeandika kiswahili sanifu kabisa " Natafuta manager wa kuni simamia mimi" Amani ya bwana iwe nawe🙏
Kuna typing errors kwenye Covers za vitabu vyako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..Kabla huja comment jiridhishe sana mkuu najua nacho kifanya mbaka nafikia level ya U shemasi sijarushwa tu nimepitia hatua zote. So hakuna Typing error hapo Asante.
DevelolopmentKuna typing errors kwenye Covers za vitabu zako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
Hapana SIO typing error HIO ni new version of english established in 2000Kama title ya kitabu tu Ina typing errors, je ndani..?!
Don't judge book by it's cover!!....Kama title ya kitabu tu Ina typing errors, je ndani..?!
Kumbe bado sijui english aseeHapana SIO typing error HIO ni new version of english established in 2000
Ni kweli lakini pia mwandishi wa fasihi ana ruhusa ya kuvunja sarufi ya lugha ili kukidhi alichokikusudia.Kuna typing errors kwenye Covers za vitabu zako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
Watanzania sisi tunasumbuliwa sana na Afya ya akiri.. karibu kwa huduma St josephOngea na bwana akumenej saasa!
Hapana ni kwamba hajaelewa unawezaje kukosea book cover?Don't judge book by it's cover!!....
Things change ndg huwezi kosea book cover..Kumbe bado sijui english asee
Mcheki Meneja Wa MakampuniHabari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali
Mpaka sasa nimesha andika vitabu zaidi ya 6 kama nilivyo weka cover zake hapo chini.
View attachment 3005595View attachment 3005596View attachment 3005608 Ntafuta meneja atakaye weza kunisimamia katika kazi zangu hizi.. namba yangu ni 0711359904
Duuuh! Kweli bado kunatatizo sana hasa kwenye upande wa ujuaji nimekwambia kabla hujaja kusema kuna typing errors jiridhishe kwanza nenda google kaangalie uliza na kwa watu mimi sio chizi et book cover tu ikosewe .. nadhani ungekuwa mwandishi au msomaji wa vitabu usingeendelea kun'gan'gana na hii kitu asanteKuna typing errors kwenye Covers za vitabu zako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
Kweli kabisa Poltics ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover na Yoiuth ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover na Develolopment ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover Ila tatizo ni moja tu anaesema umekosea yeye anatumia english version ya 1980 wakati wewe unatumia english version ya 2000 upo sahihi kabisaThings change ndg huwezi kosea book cover..
HICHO pia ni Kiswahili version ya 2000 wale wa version ya 1980 kuja 1990 watakwambia ni typing error kumbe upo sahihi kabisausingeendelea kun'gan'gana na hii kitu asante