Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hujamuelewa tu vizuri Mkuu Kalaga baho alichokuuliza. Ni hivi people hire managers huyo unayemtafuta wewe ni investor ambaye naye atatafuta manager sasa.Samahani mkuu nimeandika kiswahili sanifu kabisa " Natafuta manager wa kuni simamia mimi" Amani ya bwana iwe nawe🙏
HahahaMAPYA YAIBUKA
Kichwa maji acha kukariri mambo siongelei kibao kata hapa shenzi..Hizo images unazodai ni cover photo za vitabu vyako , mbona ni Chatgbt generated image, tena na copilot
Ndo mNa nikamuuliza meneja ana majukum gani? Mana ikitokea anatakiwa atoe hela kubrand kitabu cha jamaa huyo sio meneja tena! Ni investor ambaye anatakiwa amlipe muandishi kutokana na mauzo.Hujamuelewa tu vizuri Mkuu Kalaga baho alichokuuliza. Ni hivi people hire managers huyo unayemtafuta wewe ni investor ambaye naye atatafuta manager sasa.
Hizo images unazodai ni cover photo za vitabu vyako , mbona ni Chatgbt generated image, tena na
Hakuna shemasi hapa ila kuna shoga mmoja tu kaamua kutengeneza attention kwa manufaa yake mwenyewe.
Muandishi wa vitabu vya hamasa anataka kuhamasishwa, what a wonder!. 😂