Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Ndo huyu? Mbona anan'gaq mafuta kampaka nani?
1000037181.jpg
 
Haya maisha ni ubatili mtupu.
Hiki kizazi cha nyoka hakina mtumishi wa Mungu wala nani, wote wahuni tu.
Eneweiz kataa ndoa.
Jina lako lenyewe tayari unaonekana haupo vizuri ki mwili na akili.... watakupilizia ubaridi shauri yako
 
Hakuna shemasi hapa ila kuna shoga mmoja tu kaamua kutengeneza attention kwa manufaa yake mwenyewe.
 
Kabla huja comment jiridhishe sana mkuu najua nacho kifanya mbaka nafikia level ya U shemasi sijarushwa tu nimepitia hatua zote. So hakuna Typing error hapo Asante.
Hawajazoea maneno yenye consonts ambata, wanakariri notes Hawa vyuoni. Wasamehe
 
Ni kweli lakini pia mwandishi wa fasihi ana ruhusa ya kuvunja sarufi ya lugha ili kukidhi alichokikusudia.

Pia mwandishi anaweza kuvunja sarufi ya lugha ili kuonesha mvurugano au mkanganyiko katika jamii yake,mfano kitabu cha The beutiful ones are not yet born,mwandishi kaandika the beautyful ones instead of beautiful,
Ila hivi sio vya fasihi Mkuu. Huwezi fanya mchezo huo kwenye haya mambo yanayohitaji umakini.
 
Muandishi wa vitabu vya hamasa anataka kuhamasishwa, what a wonder!. 😂
 
Back
Top Bottom