Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
927
Reaction score
1,368
Ndugu zangu wanaJF,
Natumaini wote mu wazima.

Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki kitu cha kawaida!!!

Gharama si kigezo, ninachojali ni hadhi, ubunifu na ubora wa mwisho wa bidhaa. Iwe ya wasanii wa ndani au hata wa kimataifa mradi iwe na mvuto wa kipekee.

Kama kuna yeyote anafahamu wapi naweza pata kitu kama hiki hata kama ni kwa oda maalum tafadhali niongozeni.

Nawashukuru sana,
Niko tayari kwa mapendekezo yenu.
 
Back
Top Bottom