Natafuta mfadhili nitamlipa zawadi nzuri

Natafuta mfadhili nitamlipa zawadi nzuri

Msema kweli ni mpenzi wa mungu
Maisha ni magumu, mshahara hautoshi halafu ukitegemea mwanaume akupe hela hakupi kwanza anakudharau anakuona huna maana.

Nimefikiria kuanzisha biashara ya saluni ya wanawake lakini sina hela yoyote.
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida kutokana na imani yangu siwezi kukopa maana mikopo yote ina riba na mikopo ya riba huwa hailipiki itakuwa tu nafanyia benk biashara.

Ninajua kuna watu wana roho nzuri humu kwahiyo naombeni yeyote mwenye kuguswa anisaidie mtaji kidogo wa kuanzisha biashara hii nipo vizuri najua italipa
Kinachotakiwa ni hela ya kodi ya nyumba mwaka
3,600,000 Tsh

Kununua vifaa vichache 2,000,000Tsh
Operesheni zingine zitajilipia

Kama mtu anataka pia kuwa business partner ila awe na million tano anakaribishwa.
Kutakuwepo na chain ya biashara nyingi tu ila tunaanzia hapo
Asanteni
Nipo dsm
Teheee teheee ni inbox namba yako kama vipi....chezea zawadi nzuri wewe subiri hapo uambiwe zawadi gani
 
sitaki tena ipo siku nitatoka tu
🙁🙁 Duuuh haya lakini niko serious,labda unijibu unafikiri ile pesa tutakayo invets itarudi baada ya mda gani ? ili tuweze kuona faida sasa.Kwa sababu tunapoingiza 5.5m ili tuhesabu faida ni lazima hii irudi lakini wakati huo huo ofisi iweze kujiendesha sasa yenyewe.
 
Back
Top Bottom