Natafuta mfadhili wa elimu ya degree

Natafuta mfadhili wa elimu ya degree

Msomi usiyejua tofauti ya stashahada na Degree(Shahada) kwanini bado ung'ang'anie shule wakati haikupendi?
 
Bado sijakuelewa!

ada mil 1.3 kwa stashahada?

Udsm wanatoa Diploma ya Law enforcement?

Jibu kwanza hapo then Uni PM
 
Bachelor degree/ shahada
Diploma/ stashahada.
Nikuweke sawa kwanza hapo...
 
Back
Top Bottom