Ndugu zangu na members wote wa JF habari za muda huu. Poleni na mihangaiko na harakati za kujitafutia walau mkono uende kinywani. Bila kupoteza wakati twende kwenye mada husika kama title ya thread inavojieleza.
Mie ni mzaliwa wa Mbeya na umri wangu ni miaka 23 pia n muhitimu wa chuo kikuu cha udsm kwa mwaka jana.
Ni mwanamuziki wa bongo flavour na mpaka sasa nina nyimbo zangu 87 ambazo nimeziandika mwenyewe na pia kuna baadhi ya wasanii wakubwa tu ambao nimewahi kuwaandikia nyimbo na zikafanya vizuri pia. Najua wengi mtaanza kujiuliza imekuaje anajuana na wasanii wakubwa then anakuja kuomba msaada huku, nitatoa stori yangu ili mjue chanzo.
Lakini kwa yeyote aliye tayari anitafute direct kwenye namba yangu 0744566124. Niamini hutojutia sababu namaanisha na najua nachokifanya.