K Kima mdogo JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 303 Reaction score 46 Oct 29, 2011 #1 awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm
awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Oct 29, 2011 #2 duh Kima Mdogo anatafuta mfanyakazi!
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 336 Oct 29, 2011 #3 Kima mdogo said: awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm Click to expand... Hapo inaonyesha hujui unachotafuta, je ni mfanyakazi wa kupika jikoni au kuserve wateja mezani au wa kukaa counter na kukusanya pesa au wa kuosha sahani na masufuria au???? mkuu elezea vizuri
Kima mdogo said: awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm Click to expand... Hapo inaonyesha hujui unachotafuta, je ni mfanyakazi wa kupika jikoni au kuserve wateja mezani au wa kukaa counter na kukusanya pesa au wa kuosha sahani na masufuria au???? mkuu elezea vizuri
Criss Alex Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 111 Reaction score 10 Apr 25, 2012 #4 Mimi nikotayar kaka natafuta kaz but how abt mshahara? Email me at crissalex1@live.com. Au call me +255719665022. Au +255688355306.
Mimi nikotayar kaka natafuta kaz but how abt mshahara? Email me at crissalex1@live.com. Au call me +255719665022. Au +255688355306.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Apr 25, 2012 #5 Mi nipo mpwapwa ila naweza kuja moshi. Mapishi nayaweza na nimtulivu sana. Naweza kuapply?