Natafuta mfanyakazi wa restaurant

Natafuta mfanyakazi wa restaurant

Kima mdogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
303
Reaction score
46
awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm
 
awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm

Hapo inaonyesha hujui unachotafuta, je ni mfanyakazi wa kupika jikoni au kuserve wateja mezani au wa kukaa counter na kukusanya pesa au wa kuosha sahani na masufuria au???? mkuu elezea vizuri
 
Mi nipo mpwapwa ila naweza kuja moshi. Mapishi nayaweza na nimtulivu sana. Naweza kuapply?
 
Back
Top Bottom