Natafuta mfanyakazi wa stationary

Natafuta mfanyakazi wa stationary

Mnene 1

Senior Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
125
Reaction score
11
natafuta binti/kijana ambae yuko tayari kufanya kazi stationary Mbeya.
Awe angalao na elimu ya kidato cha nne, awe na certificate/diploma ya secretarial.

mwenye interest please PM
 
Asante Mnene nitakutumia PM sasa hivi ,mimi nina sifa zote ..
 
Mleta mada una maanisha unatafuta Mfanyakazi asiyetembea (stationary)???fafanua
 
Back
Top Bottom