Natafuta mganga wa kienyeji kutoka Iramba Singida hasa mwanamke.

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu, hamjambo? Kama mada tajwa hapo juu inavyosema, mwenye kumjua mganga wa kienyeji kutoka iramba itapendeza sana akiwa ni mwanamke,nataka mambo ya ndagu na utajili. Kama humjui kaa kimya,sihtaji kusikia mambo ya YESU ninachohtaji ni mganga tu.
 
Kila la kheri kwenye utajiri wa NDAGU/PUNJE/KUTOA KAFARA.
 
Kama mwafika halisi nauliza kabla sijajibu, Kwanini Iramba na kwanini mwanamke?
 
Back
Top Bottom