Utaishia kutapeliwaWakuu, hamjambo? Kama mada tajwa hapo juu inavyosema, mwenye kumjua mganga wa kienyeji kutoka iramba itapendeza sana akiwa ni mwanamke,nataka mambo ya ndagu na utajili. Kama humjui kaa kimya,sihtaji kusikia mambo ya YESU ninachohtaji ni mganga tu.
Kila la kheri kwenye utajiri wa NDAGU/PUNJE/KUTOA KAFARA.Wakuu, hamjambo? Kama mada tajwa hapo juu inavyosema, mwenye kumjua mganga wa kienyeji kutoka iramba itapendeza sana akiwa ni mwanamke,nataka mambo ya ndagu na utajili. Kama humjui kaa kimya,sihtaji kusikia mambo ya YESU ninachohtaji ni mganga tu.
hapana,niko tayari kufunga safari kwenda huko. Tena vijijini kabisa.