Natafuta Mgumba

Kikelelwa

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
176
Reaction score
124
Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.

Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni shule nitamsomesha mimi

Natanguliza shukrani.
 
duh! wewe ni binadamu gani myenye mawazo yasio na akili na busara.
 
Dah!
Nipo nashkikiliza wimbo wa
Phil Collins - Every Day ninaupenda sana. Madame B mzima? Dah! Ningekua mkubwa yani yani yani lah! mawazo yenye akili na busara ni yale ambayo jamii ikuzungukayo ikayakubali kwa zaidi ya 90%
Hebu weka hayo mawazo yako yenye akili tuyaone.
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Nipo nashkikiliza wimbo wa
Phil Collins - Every Day ninaupenda sana. Madame B mzima? Dah! Ningekua mkubwa yani yani yani lah! mawazo yenye akili na busara ni yale ambayo jamii ikuzungukayo ikayakubali kwa zaidi ya 90%

Ila si busara hata kidogo kutoa kauli hiyo hata kama hukupendezwa nayo.
Kama unaona vip si unaipitia Thread kushoto,unaendelea na safari?
Sio siri japo simjui mleta mada,lakini nimejisikia vibaya sana ulivomjibu manoah.
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri. Umenikumbusha mchungaji flani alifiwa na mkewe. Akamuoa dada alieachika kwa kutopata watoto. Nadhani mchungaji alikuwa ameridhia kuwa no more kids. Ya Mungu mengi, yule dada alikuja gundulika akiwa na ujauzito wa miezi karibu sita. Ilikuwa shangwe mara mbili. Sina hakika kama yule mumewe wa kwanza aliwahi kubahatisha mtoto!

Ushauri wangu, usitafute mgumba. Tafuta mwanamke asie na plan ya kuwa na watoto zaidi. Kutafuta mgumba inaweza kumaanisha unataka kukwepa majukumu ya kushare responsibility za malezi. Unaweza kupata mwanamke mwenye watoto wawili mkawalea pamoja. Otherwise ningekuwa mimi mgumba ningeamini unataka mtu wa kumuegemea (nisingeweza kutenga hela zangu from malezi ya wanao).
 
Ila si busara hata kidogo kutoa kauli hiyo hata kama hukupendezwa nayo.
Kama unaona vip si unaipitia Thread kushoto,unaendelea na safari?
Sio siri japo simjui mleta mada,lakini nimejisikia vibaya sana ulivomjibu manoah.

:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:

Thanks for your Advise King'asti

I wish I could get one ambaye hana plan ya kuzaa
 
Last edited by a moderator:
Madame B niambie jinsi gani wagumba wana angaika kutafuta watoto, na jinsi gani wagumba wanavyo nyanyapaliwa kwenye mafamilia huko/ usifanye mgumba ni chombo cha kuzuia wewe kuzaa tena, twapasa kuwa nao pamoja na kuwaombea pia ili Mungu wetu awasaidie nao wapate watoto, huyu jamaa hato kua na msaada kwa huyo atakae muoa zaidi ya kumtumia, na mwisho wa siku hata kumuacha, angesema anataka mke sio mgumba, miujiza ikatokea kashika mimba? Atamuacha, ? Unategemea nini kama sio kumuacha kama hao alio shindwa kuanzisha nao maisha hao alio zanao?

Madame B nakuheshimu sana wala sipendi kupingana nawe ila kwa hili bado hajatumia mawazo yenye busara.
Ila si busara hata kidogo kutoa kauli hiyo hata kama hukupendezwa nayo.
Kama unaona vip si unaipitia Thread kushoto,unaendelea na safari?
Sio siri japo simjui mleta mada,lakini nimejisikia vibaya sana ulivomjibu manoah.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…