Natafuta mitetea wa kununua 100

Natafuta mitetea wa kununua 100

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
Helow wakuu, nipo kwenye mchakato wa kufuga ila lengo langu ni sawa na research yan nataka ndani ya mwaka mmoja nione kama nitafikisha kuku elfu moja kutokana na directory za humu plus za shuleni, tayari nimesha andaa banda kubwa tu lina sebule (public) na chumba hatchery, kuna sehemu nimejenga lingne as nursery na stoo ya chakula na mayai, ombi langu naomba kupata mitetea wa kienyeji wapatao 100 au chotara, hayo mabanda nimeyajenga iringa so itakuwa poa kama pakuwa karb na iringa, pia ningependa kufaham nasikia jkt wanauzaga kuku je ni wa umri gani na aina gani? Pia na maeneo ya sadani kama kuna mwenyeji anisaidie, natanguliza shukrani.
 
Nakushauri uanze na kuku wakubwa kidogo,then uwape chanjo..kuliko kununua vifaranga nadhani jkt wanauza zaidi vifaranga.
 
Nakushauri uanze na kuku wakubwa kidogo,then uwape chanjo..kuliko kununua vifaranga nadhani jkt wanauza zaidi vifaranga.

thnx chief, hata mm nataka wakubwa anaefika akaanza kutaga.
 
Back
Top Bottom