Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi.
Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi.
Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada.