Natafuta mizinga ya nyuki

Natafuta mizinga ya nyuki

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Habari wadau,

Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi.

Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi.

Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada.

Asanteni sana.

1619528991760.png
 
Design zote zipo online hata youtube zimejaa na wanakufundisha namna ya kufanya, chagua design then tafuta seremala akutengenezee ni rahisi sana
 
Back
Top Bottom