acha kunyanyapaa wajane wa jf wengine wenza wao wamekufa kwa ajali za magari, ngege n.k.heri ajasema anatafuta waume za watu maana angewapataaaapia wajane wengi watakuwa hiv positive! Try divorcees!
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili
umri usizidi miaka mitano
awe HIV-NEGATIVE
MIMI NINA UPENDO WA KWELI
NINA MIAKA 32
NAWASILISHA
Mkuu nimekugongea like kwa umahiri wako wa kutegua mafumbo......... Mi alivyosema umri usizidi miaka mitano nlikuwa nshaanza kukafikiria ka-ankal kangu kenye miaka mitano afu kawe tayari kana watoto wawili tayari, afu mkewe awe tayari kashaRIP afu ndo aje aoe jimama la 32 years...!Badilisha headng yako ni mgani<mwanaume> insead of mjane<mwanamke> we no upendo wa kweli yaan unataman mtu mwenye miaka 37 awe amefiwa na mke Ohh my GOD HELP US.Utajisikiaje utakapo fikisha miaka 40 uwe mjane then watoto wako wawe yatima.
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili
umri usizidi miaka mitano
awe HIV-NEGATIVE
MIMI NINA UPENDO WA KWELI
NINA MIAKA 32
NAWASILISHA