Natafuta mjane

Natafuta mjane

mamushkar

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
26
Reaction score
8
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili
umri usizidi miaka mitano
awe HIV-NEGATIVE
MIMI NINA UPENDO WA KWELI
NINA MIAKA 32
MAWASILIANO EMAIL AMINSENGA@YAHOO.COM
KAMA UNATANIA TAFADHALI SITAKI UTANI NA WATOTO WAWE WA MAMA MMOJA
NA UYO MAMA AWE EITHER AMAFARIKI AU AMEOLEWA KIHALALI SITAKI USUMBUFU
 
Sasa naanza ona mkwala ulioingia nao! Weye una watoto wangapi? Unafikiri qualification ni age tu? Toa sifa zako zaidi!
 
kweli jimama umeingia..lol.

Kila la kheri mpendwa!
 
Badilisha headng yako ni mgani<mwanaume> insead of mjane<mwanamke> we no upendo wa kweli yaan unataman mtu mwenye miaka 37 awe amefiwa na mke Ohh my GOD HELP US.Utajisikiaje utakapo fikisha miaka 40 uwe mjane then watoto wako wawe yatima.
 
Hivi mwanume akifiwa na mkewe anaitwa mjane?
 
pia wajane wengi watakuwa hiv positive! Try divorcees!
acha kunyanyapaa wajane wa jf wengine wenza wao wamekufa kwa ajali za magari, ngege n.k.heri ajasema anatafuta waume za watu maana angewapataaaa
 
Wewe hujatuambia una watoto wangapi, kwa nini huna mume mpaka sasa na hatujui kama na wewe uko HIV-NEGATIVE.
 
Mamushkar naona umeingia na swagga za ukweli. Usijali utapata tu huyo mjane. Na hivi mwanaume anaweza kuwa mjane?
 
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili
umri usizidi miaka mitano
awe HIV-NEGATIVE
MIMI NINA UPENDO WA KWELI
NINA MIAKA 32
NAWASILISHA

Badilisha headng yako ni mgani<mwanaume> insead of mjane<mwanamke> we no upendo wa kweli yaan unataman mtu mwenye miaka 37 awe amefiwa na mke Ohh my GOD HELP US.Utajisikiaje utakapo fikisha miaka 40 uwe mjane then watoto wako wawe yatima.
Mkuu nimekugongea like kwa umahiri wako wa kutegua mafumbo......... Mi alivyosema umri usizidi miaka mitano nlikuwa nshaanza kukafikiria ka-ankal kangu kenye miaka mitano afu kawe tayari kana watoto wawili tayari, afu mkewe awe tayari kashaRIP afu ndo aje aoe jimama la 32 years...!

Narudi tena darasanai hakyamama!
 
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili
umri usizidi miaka mitano
awe HIV-NEGATIVE
MIMI NINA UPENDO WA KWELI
NINA MIAKA 32
NAWASILISHA

MMMhhhhh je hutaki kuwa nyumba ndogo maana wanawake wenye umri wako wengi waume zao bado wanaishi.....
 
mamushkar!!! kwanini mjane specifically? je akiwa ametengana na mkewe hakufai. au ndio masharti ya Babu?
 
mamushka wagane wenyewe kwa umri huo itakuwa ngumu, ongeza walau miaka 20 juu tena ndo wanajua kulea vizuri.
 
Mamushka wewe ni msagaji mbona unatafuta mjane?Njoo tukufanyie maombi
 
Back
Top Bottom