Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

Waoaji tumeisha zamani sana hawa wadogo zetu wanatafuta tu sababu kutoingia kwenye ndoa
 
Sijui kama Tanzania ya leo utampata mwanamke wa namna hiyo!!! Usisahau kutuleyea mlisho nyuma.
 
Dada yangu yupo nikuunganishe naye hujaweka cell no yako hapa ana vigezo vingi sana kakizi hapo isipokuwa kimoja tu miaka anazidi kidogo tu 48 haita athiri zoezi zima hiyo
 
haya masharti doh!

si uwongo kuwa mambo old fashioned mengi ni bora kuliko haya mapya lakini si yote! kuna baadhi uliyoyaorodhesha yatakuletea tabu sana mbeleni upende usipende
 
Ama hakika wewe ni mkali kweli kweli.Ngoja waje wamama najua utampata tu wa kuendana na sifa hizo.
 
Kwanini umewabagua wasio na wazazi? Unadhani walipenda kuwa hivyo?

Note: Kuwa na baba mkali sio kigezo cha kuwa na adabu, kuna watu wana nidhamu ya uoga. Take care
 
Kwanini umewabagua wasio na wazazi? Unadhani walipenda kuwa hivyo?

Note: Kuwa na baba mkali sio kigezo cha kuwa na adabu, kuna watu wana nidhamu ya uoga. Take care
Akamuoe Tunda babaake si alikua mkali[emoji41]
 
kuna demu jirani yangu yeye sio old school ila anapiga mapigo kama jike dume na ana tabia nzuri sana vp nikuunganishie ila utanipa asilimia 10 ya mahari utakayotozwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…