McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Waoaji tumeisha zamani sana hawa wadogo zetu wanatafuta tu sababu kutoingia kwenye ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa anazngua[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi nishamsoma! aje kwa id yake tu!
Akamuoe Tunda babaake si alikua mkali[emoji41]Kwanini umewabagua wasio na wazazi? Unadhani walipenda kuwa hivyo?
Note: Kuwa na baba mkali sio kigezo cha kuwa na adabu, kuna watu wana nidhamu ya uoga. Take care