Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

Amanimoyoni

New Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
4
Reaction score
15
Wasalaam wana JF.

Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-

- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza

Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo

- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali kidogo iwe ni kwa muda mfupi
- Awe anampenda baba yake. Awe anamheshimu sana pia. Hayo mambo mawili ni muhimu sana. Kama kwa sababu moja au nyingine unamchukia baba yako au haumheshimu basi wewe hunifai: chapa lapa nenda zako.
- Awe anampenda mama yake na kumheshimu pia. Awe anazingatia ushauri mwema anaopewa na mama.
-Awe ametoka katika familia ambayo baba ni mkali kama pili pili. Yaani baba akiingia ndani hata panya wanakimbia kwenda kujificha. Awe anajua kumtetemekea baba yake. Na kwa kweli apende kuwa na mwanaume mkali kuliko hata huyo baba yake.
- Awe ana adabu na heshima ya hali ya juu kwa yeyote aliyemzidi umri.
- Awe anaheshimu sana wanaume. Sisemi akubaliana na upuuzi lakini ajue mwanaume ni nani.

Sifa nyingine za nyongeza ni kama zifuatazo:

- Awe amebahatika kukaa na bibi zake [upande wa baba au mama] na akafundishwa maadili ya ndoa. Hasa zamani ndoa zilivyokuwa. Awe anajua mahusiano ya kimila yanavyotakiwa kuwa. yaani mwanaume ni nani na mwanamke ni nani
- Awe tayari kuwa mke wa kutazama mambo ya ndani ya nyumba. Kama anafanya kazi awe tayari hata kuiacha ili akae nyumbani kutunza nyumba na watoto.
- kwa ufupi yeye ajue ni mtu wa nyumbani. na mume ni mtu wa nje. Awe tayari kufanya kazi zote nyumbani na ajue ni jukumu lake. Sawa nitawaajiri mahouse girl akitaka lakini ajue ni wajibu wake kuwasimamia.

- Awe tayari kula vya mumewe na kuridhika. Nitajitahidi sana kuhakikisha familia yangu inaishi maisha mazuri. Na nitamjali sana mke wangu. Licha ya ukali wangu nitahakikisha anavaa, anakula na anapata kila kitu kadiri inavyowezekana.

- Asiwe macho juu juu. yaani kutamani kila anachokiona. Anishauri kwa hekima huku akijua kuwa sitatekeleza ushauri wake pale pale. Na pia 80% ya ushauri wake unaweza usitekelezwe. Lakini ajue kuongea kwa upole maana sitaki mwanamke anayeongea kwa kukoroma.

Nadhani mpaka hapo mhusika kashajua sifa hizi anazo. Mwenye sifa hizi ninamtaka kwa udi na uvumba. Sijali kama amesoma ama la. Mwanamke wa namna hiyo kwangu ndiyo kila kitu.

- Sitaki kunguru asiyefugika.
-Sitaki mwanamke wa kudai haki sawa.
-Sitaki mwanamke wa kutafuta vya kwake kwake tu.
-Sitaki mwanamke wa kusema eti nikifa yeye ataishije. Anayejua yeye ni mke
atasimama katika wajibu wake.

Najua wanawake wa namna hii hapa JF wanaweza wasiwepo. hivyo naomba wenye mapenzi mema msisite kuniunganisha na mwanamke wa hivi popote alipo. Nami nitakushukuru sana.

Pia awe mzuri sana wa uso, umbo, rangi, n.k.

Mimi ni OLD-FASHIONED man, and I need old-fashioned lady.

Kazi kwenu. Aliye serious aje PM. Au kama una mtu unataka kumrecommend njoo PM pia. Sifagilii mazungumzo ya kwenye public yasiyo na mwelekeo.

Huu siyo mjadala kwa hiyo usilete mjadala wako kwenye uzi huu. Nenda kaandae kongamano lako kwingine. Mimi hapa nataka mke tu.

Wale wanawake mnajijua hamna vigezo acheni kuja PM na visalamu vifupi vifupi...eti "Hi", "ushampata?", "nakuombea", n.k. Acheni ujinga. Aje tu aliye serious au kama unataka kunishauri juu ya mtu wa aina hiyo.

Asanteni, naomba kuwakilisha mada.
 
Mkuu kazi unayo, kumbuka haya:-

- unaposema old fashioned una maanisha upande upi kati ya life style au ideology?

-Ujiandae kwa kuwa mwalimu la si vyo ujiandae kwa fedhea (si lazima)

-Ukibahatika sana utampata binti 'mshamba' vinginevyo utauziwa mbuzi kwenye gunia

-Ukimpata old fashioned alafu akawa mlokole sanaaa basi kimbia huyo siyo old fashioned bali ni mtu fulani muoga muoga

-mwisho wa yote wataalamu wanasema old fashion wengi wanatoksna na nyota ya ndoo (acqurius) ukipata nje ya apo jua kuna walakini

Safari njema ndgu
 
Wasalaam wana JF.

Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-

- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza

Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo

- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali kidogo iwe ni kwa muda mfupi
- Awe anampenda baba yake. Awe anamheshimu sana pia. Hayo mambo mawili ni muhimu sana. Kama kwa sababu moja au nyingine unamchukia baba yako au haumheshimu basi wewe hunifai: chapa lapa nenda zako.
- Awe anampenda mama yake na kumheshimu pia. Awe anazingatia ushauri mwema anaopewa na mama.
-Awe ametoka katika familia ambayo baba ni mkali kama pili pili. Yaani baba akiingia ndani hata panya wanakimbia kwenda kujificha. Awe anajua kumtetemekea baba yake. Na kwa kweli apende kuwa na mwanaume mkali kuliko hata huyo baba yake.
- Awe ana adabu na heshima ya hali ya juu kwa yeyote aliyemzidi umri.
- Awe anaheshimu sana wanaume. Sisemi akubaliana na upuuzi lakini ajue mwanaume ni nani.

Sifa nyingine za nyongeza ni kama zifuatazo:

- Awe amebahatika kukaa na bibi zake [upande wa baba au mama] na akafundishwa maadili ya ndoa. Hasa zamani ndoa zilivyokuwa. Awe anajua mahusiano ya kimila yanavyotakiwa kuwa. yaani mwanaume ni nani na mwanamke ni nani
- Awe tayari kuwa mke wa kutazama mambo ya ndani ya nyumba. Kama anafanya kazi awe tayari hata kuiacha ili akae nyumbani kutunza nyumba na watoto.
- kwa ufupi yeye ajue ni mtu wa nyumbani. na mume ni mtu wa nje. Awe tayari kufanya kazi zote nyumbani na ajue ni jukumu lake. Sawa nitawaajiri mahouse girl akitaka lakini ajue ni wajibu wake kuwasimamia.

- Awe tayari kula vya mumewe na kuridhika. Nitajitahidi sana kuhakikisha familia yangu inaishi maisha mazuri. Na nitamjali sana mke wangu. Licha ya ukali wangu nitahakikisha anavaa, anakula na anapata kila kitu kadiri inavyowezekana.

- Asiwe macho juu juu. yaani kutamani kila anachokiona. Anishauri kwa hekima huku akijua kuwa sitatekeleza ushauri wake pale pale. Na pia 80% ya ushauri wake unaweza usitekelezwe. Lakini ajue kuongea kwa upole maana sitaki mwanamke anayeongea kwa kukoroma.

Nadhani mpaka hapo mhusika kashajua sifa hizi anazo. Mwenye sifa hizi ninamtaka kwa udi na uvumba. Sijali kama amesoma ama la. Mwanamke wa namna hiyo kwangu ndiyo kila kitu.

- Sitaki kunguru asiyefugika.
-Sitaki mwanamke wa kudai haki sawa.
-Sitaki mwanamke wa kutafuta vya kwake kwake tu.
-Sitaki mwanamke wa kusema eti nikifa yeye ataishije. Anayejua yeye ni mke
atasimama katika wajibu wake.

Najua wanawake wa namna hii hapa JF wanaweza wasiwepo. hivyo naomba wenye mapenzi mema msisite kuniunganisha na mwanamke wa hivi popote alipo. Nami nitakushukuru sana.

Pia awe mzuri sana wa uso, umbo, rangi, n.k.

Mimi ni OLD-FASHIONED man, and I need old-fashioned lady.

Kazi kwenu. Aliye serious aje PM. Au kama una mtu unataka kumrecommend njoo PM pia. Sifagilii mazungumzo ya kwenye public yasiyo na mwelekeo.

Huu siyo mjadala kwa hiyo usilete mjadala wako kwenye uzi huu. Nenda kaandae kongamano lako kwingine. Mimi hapa nataka mke tu.

Wale wanawake mnajijua hamna vigezo acheni kuja PM na visalamu vifupi vifupi...eti "Hi", "ushampata?", "nakuombea", n.k. Acheni ujinga. Aje tu aliye serious au kama unataka kunishauri juu ya mtu wa aina hiyo.

Asanteni, naomba kuwakilisha mada.

UNAHARIBU
 
old fasheni unamtafuta humu kweli?! mwanamke asiyetaka haki sawa yuko humu kweli?! kweli nimeamini kusoma sana lazima uwe chizi. Yani wewe ni kubwa la machizi, maana wenzio tunatafuta wake wanao jishughulisha ili kusaidiana maisha we unatafuta mke wa kukaa ndani? kwanza kwa mshahara gani huo wakumfanya mwanake anaejitambua kuacha kazi na kukaa ndani tu? 1st lady mwenyewe anajishughulisha japo mumewe ndo top.kweli akili ni nywele na kila mtu anazake.
 
Na mwanamke wa dizaini hii hayupo[emoji23]
 
Wasalaam wana JF.

Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-

- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza

Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo

- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali kidogo iwe ni kwa muda mfupi
- Awe anampenda baba yake. Awe anamheshimu sana pia. Hayo mambo mawili ni muhimu sana. Kama kwa sababu moja au nyingine unamchukia baba yako au haumheshimu basi wewe hunifai: chapa lapa nenda zako.
- Awe anampenda mama yake na kumheshimu pia. Awe anazingatia ushauri mwema anaopewa na mama.
-Awe ametoka katika familia ambayo baba ni mkali kama pili pili. Yaani baba akiingia ndani hata panya wanakimbia kwenda kujificha. Awe anajua kumtetemekea baba yake. Na kwa kweli apende kuwa na mwanaume mkali kuliko hata huyo baba yake.
- Awe ana adabu na heshima ya hali ya juu kwa yeyote aliyemzidi umri.
- Awe anaheshimu sana wanaume. Sisemi akubaliana na upuuzi lakini ajue mwanaume ni nani.

Sifa nyingine za nyongeza ni kama zifuatazo:

- Awe amebahatika kukaa na bibi zake [upande wa baba au mama] na akafundishwa maadili ya ndoa. Hasa zamani ndoa zilivyokuwa. Awe anajua mahusiano ya kimila yanavyotakiwa kuwa. yaani mwanaume ni nani na mwanamke ni nani
- Awe tayari kuwa mke wa kutazama mambo ya ndani ya nyumba. Kama anafanya kazi awe tayari hata kuiacha ili akae nyumbani kutunza nyumba na watoto.
- kwa ufupi yeye ajue ni mtu wa nyumbani. na mume ni mtu wa nje. Awe tayari kufanya kazi zote nyumbani na ajue ni jukumu lake. Sawa nitawaajiri mahouse girl akitaka lakini ajue ni wajibu wake kuwasimamia.

- Awe tayari kula vya mumewe na kuridhika. Nitajitahidi sana kuhakikisha familia yangu inaishi maisha mazuri. Na nitamjali sana mke wangu. Licha ya ukali wangu nitahakikisha anavaa, anakula na anapata kila kitu kadiri inavyowezekana.

- Asiwe macho juu juu. yaani kutamani kila anachokiona. Anishauri kwa hekima huku akijua kuwa sitatekeleza ushauri wake pale pale. Na pia 80% ya ushauri wake unaweza usitekelezwe. Lakini ajue kuongea kwa upole maana sitaki mwanamke anayeongea kwa kukoroma.

Nadhani mpaka hapo mhusika kashajua sifa hizi anazo. Mwenye sifa hizi ninamtaka kwa udi na uvumba. Sijali kama amesoma ama la. Mwanamke wa namna hiyo kwangu ndiyo kila kitu.

- Sitaki kunguru asiyefugika.
-Sitaki mwanamke wa kudai haki sawa.
-Sitaki mwanamke wa kutafuta vya kwake kwake tu.
-Sitaki mwanamke wa kusema eti nikifa yeye ataishije. Anayejua yeye ni mke
atasimama katika wajibu wake.

Najua wanawake wa namna hii hapa JF wanaweza wasiwepo. hivyo naomba wenye mapenzi mema msisite kuniunganisha na mwanamke wa hivi popote alipo. Nami nitakushukuru sana.

Pia awe mzuri sana wa uso, umbo, rangi, n.k.

Mimi ni OLD-FASHIONED man, and I need old-fashioned lady.

Kazi kwenu. Aliye serious aje PM. Au kama una mtu unataka kumrecommend njoo PM pia. Sifagilii mazungumzo ya kwenye public yasiyo na mwelekeo.

Huu siyo mjadala kwa hiyo usilete mjadala wako kwenye uzi huu. Nenda kaandae kongamano lako kwingine. Mimi hapa nataka mke tu.

Wale wanawake mnajijua hamna vigezo acheni kuja PM na visalamu vifupi vifupi...eti "Hi", "ushampata?", "nakuombea", n.k. Acheni ujinga. Aje tu aliye serious au kama unataka kunishauri juu ya mtu wa aina hiyo.

Asanteni, naomba kuwakilisha mada.
Utatafuta sana,mke wa hivyo kwa zama hizi hayupo
 
Bibi zangu wote wawili wameshatangulia mbele za haki. Mzaa mama aliniambia hakuna mwanaume anaependa kushare kitumbua na mtu yeyote yule. Aliniambia ukigawa kitumbua mwanaume anapata kinyaa kukila tena.
Je,unayaishi hayo maneno (wosia) wa Bibi yako?
 
Back
Top Bottom