Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

Wasalaam wana JF.

Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-

- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza

Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo

- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali kidogo iwe ni kwa muda mfupi
- Awe anampenda baba yake. Awe anamheshimu sana pia. Hayo mambo mawili ni muhimu sana. Kama kwa sababu moja au nyingine unamchukia baba yako au haumheshimu basi wewe hunifai: chapa lapa nenda zako.
- Awe anampenda mama yake na kumheshimu pia. Awe anazingatia ushauri mwema anaopewa na mama.
-Awe ametoka katika familia ambayo baba ni mkali kama pili pili. Yaani baba akiingia ndani hata panya wanakimbia kwenda kujificha. Awe anajua kumtetemekea baba yake. Na kwa kweli apende kuwa na mwanaume mkali kuliko hata huyo baba yake.
- Awe ana adabu na heshima ya hali ya juu kwa yeyote aliyemzidi umri.
- Awe anaheshimu sana wanaume. Sisemi akubaliana na upuuzi lakini ajue mwanaume ni nani.

Sifa nyingine za nyongeza ni kama zifuatazo:

- Awe amebahatika kukaa na bibi zake [upande wa baba au mama] na akafundishwa maadili ya ndoa. Hasa zamani ndoa zilivyokuwa. Awe anajua mahusiano ya kimila yanavyotakiwa kuwa. yaani mwanaume ni nani na mwanamke ni nani
- Awe tayari kuwa mke wa kutazama mambo ya ndani ya nyumba. Kama anafanya kazi awe tayari hata kuiacha ili akae nyumbani kutunza nyumba na watoto.
- kwa ufupi yeye ajue ni mtu wa nyumbani. na mume ni mtu wa nje. Awe tayari kufanya kazi zote nyumbani na ajue ni jukumu lake. Sawa nitawaajiri mahouse girl akitaka lakini ajue ni wajibu wake kuwasimamia.

- Awe tayari kula vya mumewe na kuridhika. Nitajitahidi sana kuhakikisha familia yangu inaishi maisha mazuri. Na nitamjali sana mke wangu. Licha ya ukali wangu nitahakikisha anavaa, anakula na anapata kila kitu kadiri inavyowezekana.

- Asiwe macho juu juu. yaani kutamani kila anachokiona. Anishauri kwa hekima huku akijua kuwa sitatekeleza ushauri wake pale pale. Na pia 80% ya ushauri wake unaweza usitekelezwe. Lakini ajue kuongea kwa upole maana sitaki mwanamke anayeongea kwa kukoroma.

Nadhani mpaka hapo mhusika kashajua sifa hizi anazo. Mwenye sifa hizi ninamtaka kwa udi na uvumba. Sijali kama amesoma ama la. Mwanamke wa namna hiyo kwangu ndiyo kila kitu.

- Sitaki kunguru asiyefugika.
-Sitaki mwanamke wa kudai haki sawa.
-Sitaki mwanamke wa kutafuta vya kwake kwake tu.
-Sitaki mwanamke wa kusema eti nikifa yeye ataishije. Anayejua yeye ni mke
atasimama katika wajibu wake.

Najua wanawake wa namna hii hapa JF wanaweza wasiwepo. hivyo naomba wenye mapenzi mema msisite kuniunganisha na mwanamke wa hivi popote alipo. Nami nitakushukuru sana.

Pia awe mzuri sana wa uso, umbo, rangi, n.k.

Mimi ni OLD-FASHIONED man, and I need old-fashioned lady.

Kazi kwenu. Aliye serious aje PM. Au kama una mtu unataka kumrecommend njoo PM pia. Sifagilii mazungumzo ya kwenye public yasiyo na mwelekeo.

Huu siyo mjadala kwa hiyo usilete mjadala wako kwenye uzi huu. Nenda kaandae kongamano lako kwingine. Mimi hapa nataka mke tu.

Wale wanawake mnajijua hamna vigezo acheni kuja PM na visalamu vifupi vifupi...eti "Hi", "ushampata?", "nakuombea", n.k. Acheni ujinga. Aje tu aliye serious au kama unataka kunishauri juu ya mtu wa aina hiyo.

Asanteni, naomba kuwakilisha mada.
Nice.
 
Duh!
We mkali kweli kweli!!!
A true son of your father!!!
 
Lolol!
 
Haaaaaaaa!!!!!! Hii sio ndoa n gereza halafu utakuwa mnyanyasaji ww na sio mtu wa kawaida duh mm hata bila kutoa mahali sikutak mtu unajiinua kuliko hata mungu au ulijiumba mwenywe nn yani hakuna nmna yotote unaweza kuendesha maisha bila kushauriwa hasahasa na watu wa karibu sasa cjuw ww n mdogo wake mungu au la!. Lkn kazana unaweza mpata
 
old fasheni unamtafuta humu kweli?! mwanamke asiyetaka haki sawa yuko humu kweli?! kweli nimeamini kusoma sana lazima uwe chizi. Yani wewe ni kubwa la machizi, maana wenzio tunatafuta wake wanao jishughulisha ili kusaidiana maisha we unatafuta mke wa kukaa ndani? kwanza kwa mshahara gani huo wakumfanya mwanake anaejitambua kuacha kazi na kukaa ndani tu? 1st lady mwenyewe anajishughulisha japo mumewe ndo top.kweli akili ni nywele na kila mtu anazake.
Umeonaee
 
Kiongoz, wewe umetaja sifa zako 4; unataka mtarajiwa awe na sifa 20+

[emoji36][emoji36][emoji36]
 
" Ni mpole kiasi lakini mkali sana ukini chokoza" 😂😂😂😂
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa old fashioned na kuwa mshamba....

Mtoa maada ww upo kwenye kundi la pili...
 
Wasalaam wana JF.

Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-

- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza

Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo

- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali kidogo iwe ni kwa muda mfupi
- Awe anampenda baba yake. Awe anamheshimu sana pia. Hayo mambo mawili ni muhimu sana. Kama kwa sababu moja au nyingine unamchukia baba yako au haumheshimu basi wewe hunifai: chapa lapa nenda zako.
- Awe anampenda mama yake na kumheshimu pia. Awe anazingatia ushauri mwema anaopewa na mama.
-Awe ametoka katika familia ambayo baba ni mkali kama pili pili. Yaani baba akiingia ndani hata panya wanakimbia kwenda kujificha. Awe anajua kumtetemekea baba yake. Na kwa kweli apende kuwa na mwanaume mkali kuliko hata huyo baba yake.
- Awe ana adabu na heshima ya hali ya juu kwa yeyote aliyemzidi umri.
- Awe anaheshimu sana wanaume. Sisemi akubaliana na upuuzi lakini ajue mwanaume ni nani.

Sifa nyingine za nyongeza ni kama zifuatazo:

- Awe amebahatika kukaa na bibi zake [upande wa baba au mama] na akafundishwa maadili ya ndoa. Hasa zamani ndoa zilivyokuwa. Awe anajua mahusiano ya kimila yanavyotakiwa kuwa. yaani mwanaume ni nani na mwanamke ni nani
- Awe tayari kuwa mke wa kutazama mambo ya ndani ya nyumba. Kama anafanya kazi awe tayari hata kuiacha ili akae nyumbani kutunza nyumba na watoto.
- kwa ufupi yeye ajue ni mtu wa nyumbani. na mume ni mtu wa nje. Awe tayari kufanya kazi zote nyumbani na ajue ni jukumu lake. Sawa nitawaajiri mahouse girl akitaka lakini ajue ni wajibu wake kuwasimamia.

- Awe tayari kula vya mumewe na kuridhika. Nitajitahidi sana kuhakikisha familia yangu inaishi maisha mazuri. Na nitamjali sana mke wangu. Licha ya ukali wangu nitahakikisha anavaa, anakula na anapata kila kitu kadiri inavyowezekana.

- Asiwe macho juu juu. yaani kutamani kila anachokiona. Anishauri kwa hekima huku akijua kuwa sitatekeleza ushauri wake pale pale. Na pia 80% ya ushauri wake unaweza usitekelezwe. Lakini ajue kuongea kwa upole maana sitaki mwanamke anayeongea kwa kukoroma.

Nadhani mpaka hapo mhusika kashajua sifa hizi anazo. Mwenye sifa hizi ninamtaka kwa udi na uvumba. Sijali kama amesoma ama la. Mwanamke wa namna hiyo kwangu ndiyo kila kitu.

- Sitaki kunguru asiyefugika.
-Sitaki mwanamke wa kudai haki sawa.
-Sitaki mwanamke wa kutafuta vya kwake kwake tu.
-Sitaki mwanamke wa kusema eti nikifa yeye ataishije. Anayejua yeye ni mke
atasimama katika wajibu wake.

Najua wanawake wa namna hii hapa JF wanaweza wasiwepo. hivyo naomba wenye mapenzi mema msisite kuniunganisha na mwanamke wa hivi popote alipo. Nami nitakushukuru sana.

Pia awe mzuri sana wa uso, umbo, rangi, n.k.

Mimi ni OLD-FASHIONED man, and I need old-fashioned lady.

Kazi kwenu. Aliye serious aje PM. Au kama una mtu unataka kumrecommend njoo PM pia. Sifagilii mazungumzo ya kwenye public yasiyo na mwelekeo.

Huu siyo mjadala kwa hiyo usilete mjadala wako kwenye uzi huu. Nenda kaandae kongamano lako kwingine. Mimi hapa nataka mke tu.

Wale wanawake mnajijua hamna vigezo acheni kuja PM na visalamu vifupi vifupi...eti "Hi", "ushampata?", "nakuombea", n.k. Acheni ujinga. Aje tu aliye serious au kama unataka kunishauri juu ya mtu wa aina hiyo.

Asanteni, naomba kuwakilisha mada.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana mpaka chozi limenitoka aisee dunia ina mambo,nampa pole mke
 
Dah!!
Mkuu ukimpata wa hivyo ndoa sijui itakuwaje.
Ndio hivyo hivyo lakini.
Hawa wanawake zetu wazazi wako busy kuwapeleka shule na kusahau kuwaelekeza part ya familia Ni tabu Sana.
Unajikuta umeoa mwanamke aafu unaanza kumfundisha namna ya kuwa mwanamke/mama.
Yaani yeye anachojua Ni kutiana tu ndio kazi ya mwanamke aliyeolewa.
Vingine vyote ziro.!!
Unajiuliza, huyu mama yake alikuwa wapi?
Hata kuchemsha chai?
 
Mwehhhh utakua na gubu sana..huku JF umekosea kuweka..huwezi kuwapata huku..nenda kijijini ongea na wazazi wako wakutafutie mke...kuweka hii thread humu ni wastage of time...do you real think utampata mke wa hivyo humu??? pole
 
OLD FASHIONED KWANI WEWE NI MUHAZABE MBONA UNATUMIA JF OLD FASHIONED WAPO MSITUNI SASA HIVI WANAKATA KUNI NENDA HUKO HATA NETWORK HAKUNA.
 
Back
Top Bottom