Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sisi umri umesogea ila tunapiga kazi punda akasome....kuna offer??Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
Ni kweli tunawaacha wanateseka
Kwa kizazi hiki,labda uombe wazee wakutafutie...smartp zishatuharibu...wavivu mnoAwe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
Hiko ndo kitu nisichokipenda,.Ni kweli tunawaacha wanateseka
Ipo ila uwe hata na ka mkia kidogo,.Kuna sisi umri umesogea ila tunapiga kazi punda akasome....kuna offer??
vipi akiwa mzee lakini anaweza kufanya kazi za nyumbani.Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.
Kuhusu umri, Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
sio jokes nipo siliasi.
Hapo kwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa uweredi. Na asizae? Tukutaftie mfanyakazi wa ndani bro?Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.
Kuhusu umri, Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
sio jokes nipo siliasi.
Nipo ndugu yangu naendelea kupambana,. vipi pande zako?
Awe na ka mkia kidogovipi akiwa mzee lakini anaweza kufanya kazi za nyumbani.
SIO JOKES NIPO SILIASI
Unapambana na nini?Nipo ndugu yangu naendelea kupambana,. vipi pande zako?
Mkia wa kondoo huu hapa....fungua pm my everythingIpo ila uwe hata na ka mkia kidogo,.
Hapana sihitaji mfanya kazi wa ndani,.Hapo kwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa uweredi. Na asizae? Tukutaftie mfanyakazi wa ndani bro?
Weka hadharani nione ili nijitafakari kama niliwahi mnoo kuoa.Mkia wa kondoo huu hapa....fungua pm my everything
na ugumu wa maisha wa kila uchwaoUnapambana na nini?
Masharti kama ya waganga wa kienyeji wanaotafuta wa kutoa kafara.Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.
Kuhusu umri, Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
sio jokes nipo siliasi.
Heeee mbona unamuovertake mwenzio weyeeWeka hadharani nione ili nijitafakari kama niliwahi mnoo kuoa.
sio mkia tu hadi mapembe anayoAwe na ka mkia kidogo