Natafuta mke asiyezidi miaka 30, si lazima awe na kazi

shabani198

New Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2
Reaction score
6
Habari ndugu zangu,

Kama kuna mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa namkaribisha mimi ni kijana ambaye:

1. Nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa mjini
2. Umri wangu 34
3. Rangi ni mweusi
4. Muislamu

Ili mafanikio yapatikane ni kuwa na mke bora ambaye atakuwa na sifa zifuatazo:
1. Awe Muislamu
2. Awe ana rangi
3. Miaka isizidi 30
4. Sio lazima awe na kazi

N.B KARIBU PM ila naomba ukija uje serious maana lengo ni moja tu ndoa kama hauna nia bora utulie ili wenye nia waje maana naamini humu kuna wanawake wenye nia ya dhati ya kuolewa.
 
Njia bora zaidi nenda kwa imamu wa msikiti ulio jirani.

Jitambulishe na jiegemeze. Ukishafanya hilo njoo hapa nami nitakupatia namba ya imam wa kule inaemuhitaji yupo.

Maimamu hao ndio watakuwa walezi wenu.

Nilieahi kumpeleka ndugu yangu ktk kitengo cha magonjwa ya akili Muhimbili. Bahati wodi ya wanaume na wanawake ziko karibu. Nilichokiona nilishtuka. Kuona wasichana warembo ni machizi. Kipindi hicho nami nilitaka kutafuta mchumba ppot hata wa barabarani na kwenye daladala. nikajiuliza mabinti kama hawa wakipona na nikakutanana nao kwe daladala au mitandao, bila kuchunguza nikaoa. Itatengeza kizazi gn, nitakuwa na amani gn kuwa kesho nitaamka hai.
 
Habari ndugu zangu,

Kama kuna mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa namkaribisha mimi ni kijana ambaye:

1. Nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa mjini
2. Umri wangu 34
3. Rangi ni mweusi
4. Muislamu

Ili mafanikio yapatikane ni kuwa na mke bora ambaye atakuwa na sifa zifuatazo:
1. Awe Muislamu
2. Awe ana rangi
3. Miaka isizidi 30
4. Sio lazima awe na kazi

N.B KARIBU PM ila naomba ukija uje serious maana lengo ni moja tu ndoa kama hauna nia bora utulie ili wenye nia waje maana naamini humu kuna wanawake wenye nia ya dhati ya kuolewa.
Utasumbuliwa uko pm kama unafanya utani utatamani kufungua pm yako
 
Hivi vigezo,ndo huwa vinanichekeshaga.
Kuna mtu namfahamu(sitamuita rafiki kwa sababu ya ubaguzi wake). Ukiwa si muislam,hata maji ya kunywa kwake huwezi kupata.
Basi,kaoa mwanamke eti kisa muislam. Kazaa nae,sasa hivi ana wajukuu. Mke,kashindikana(kwa anavyodai jama). Alivoona mkubwa anampanda kichwani,kaamua kumuoa wa 2. Si dini inaruhusu?! Nadhani kazaa nae watoto wawili,nae kamgeuka,kajiunga chama pendwa cha KATAA NDOA.
Sasa hivi,nadhani yupo katika harakati za kuoa mwingine tena. Ila sasa,nae kigezo kikubwa ni uislam.
Sasa,unajiuliza,muislam asiejitambua,na mkristo anaejielewa,yupi bora? Si kwamba wakristo hawana matatizo,ila, nahisi watu wangefikilia utu kwanza kabla ya madhehebu yao.
 
Mu
Habari ndugu zangu,

Kama kuna mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa namkaribisha mimi ni kijana ambaye:

1. Nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa mjini
2. Umri wangu 34
3. Rangi ni mweusi
4. Muislamu

Ili mafanikio yapatikane ni kuwa na mke bora ambaye atakuwa na sifa zifuatazo:
1. Awe Muislamu
2. Awe ana rangi
3. Miaka isizidi 30
4. Sio lazima awe na kazi

N.B KARIBU PM ila naomba ukija uje serious maana lengo ni moja tu ndoa kama hauna nia bora utulie ili wenye nia waje maana naamini humu kuna wanawake wenye nia ya dhati ya kuolewa.
Muoe tu ephen_ tu
 
Kama sio bikra usioe
Cc : Kapeace
 
Back
Top Bottom