au coUmeamua kijilipua Daaah njaa ya chini mbaya. Mbona wamejaa mitaani si-uende mtaa wa pili tu hapo majengo round about utawapa wengi...Ila weka Kipato chako ndo utarahisisha mchakato. Ukifanya hivyo within a fraction of second utawanasa hasa Wachaga wenzako ili wakunyooshe mapema viela vyako hivyo. Salio kama linasoma usipate shida hicho ndicho chambo...Watanasa kama samaki kwenye ndoano.
Hapa sipo mzee ingia kita umsake mwenyewe,,!!umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na relax.sana
sifa za bidada
umri:20to27
rangi:yoyote
umbile:asiwe mnene wala mwembamba
elimu:yoyote
dini:muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo.....Mr Metalic Umerud tena lile la kwanza halikuleta mrejesho
Anyways all the best Dogo Depal changamka hapa
Natafuta mke au mwana dada wakush nae - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahabaa DogooShikamoo.....
Oh! Mimi sasa ni mnene si unaoana hapo katupiga pin wanene
๐๐๐๐๐kitu slim kabisaMarahabaa Dogoo
Unaona sasa hii ndio shida yako sasa hata chura haipo ili aweze kubadlisha maamuz au ndio Hisense 55 Flat Screen
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkushauri umfate pm atalegeza vigezo.Bado hujapata mkuu?, tatizo siye vimbau mbau hututaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitu slim kabisa
Marahaba ๐๐๐๐
Umewah sio anyaways, Shikamoo DogoMarahaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri ya pasaka
Karibia nusu ya vigezo sina mkuu, haina haja atanitoa ndukii๐๐Nkushauri umfate pm atalegeza vigezo.
umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na relax.sana
sifa za bidada
umri:20to27
rangi:yoyote
umbile:asiwe mnene wala mwembamba
elimu:yoyote
dini:muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
๐usikate tamaa, mlango uko karibu kufungukaKaribia nusu ya vigezo sina mkuu, haina haja atanitoa ndukii๐๐
hata nyinyi nawakaribisha pia utanenepa ukiwa ndani ya mahusianoBado hujapata mkuu?, tatizo siye vimbau mbau hututaki.