Natafuta mke au mwana dada wakush nae

Natafuta mke au mwana dada wakush nae

grizzman

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
225
Reaction score
407
umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na relax.sana

sifa za bidada
umri:20to27
rangi:yoyote
umbile:asiwe mnene wala mwembamba
elimu:yoyote
dini:muislam
20190512_093358.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamua kijilipua Daaah njaa ya chini mbaya. Mbona wamejaa mitaani si-uende mtaa wa pili tu hapo majengo round about utawapa wengi...Ila weka Kipato chako ndo utarahisisha mchakato. Ukifanya hivyo within a fraction of second utawanasa hasa Wachaga wenzako ili wakunyooshe mapema viela vyako hivyo. Salio kama linasoma usipate shida hicho ndicho chambo...Watanasa kama samaki kwenye ndoano.
 
Back
Top Bottom