Natafuta mke, awe mfanyakazi wa Idara ya Ulinzi

Natafuta mke, awe mfanyakazi wa Idara ya Ulinzi

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni kijana umri wangu ni miaka 36, nipo mkoani. Leo hii nimejitokeza kwenu ntafuta mke na sio mchimba sababu nipo tayari kufunga nae ndoa mara tu atakapopatikana. Sichagui dini wala kabila ila tu awe mtumishi Idara ya Ulinzi.

Nadhani nimeeleweka ninaposema idara ya ulinzi, mimi mwenyewe ni mfanya biashara. Awe tayari kwenda kupima.

Kwa yeyote aliye tayari ani PM massage zote zitajibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani mwamba unatafuta mwanamke idara ya ulinzi akulinde wew au biashara yako mh sema we never know tafuta tu 🤔
 
Njoo hapa Singida kuna kampuni moja hapa inaitwa Kindai security group wadada wapo wengi tu, achana na wasiojulikana watakutundulisu bure 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom