Natafuta mke, awe mfanyakazi wa Idara ya Ulinzi

Natafuta mke, awe mfanyakazi wa Idara ya Ulinzi

Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni kijana umri wangu ni miaka 36, nipo mkoani. Leo hii nimejitokeza kwenu ntafuta mke na sio mchimba sababu nipo tayari kufunga nae ndoa mara tu atakapopatikana. Sichagui dini wala kabila ila tu awe mtumishi Idara ya Ulinzi.

Nadhani nimeeleweka ninaposema idara ya ulinzi, mimi mwenyewe ni mfanya biashara. Awe tayari kwenda kupima.

Kwa yeyote aliye tayari ani PM massage zote zitajibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ukikutwa na magendo uwe na mtu wa kukurescue, hii strategy nimeipenda nitaitumia na mimi
 
Back
Top Bottom