Sijui mlinzi police au wale wa KK securityIdara ya ulinzi kiaje yani mimi sijaelewa
Kk security hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Idara ya ulinzi kiaje yani mimi sijaelewa
Subiri tumalizane na korona kwanza. Watu tunapigania uhai wewe unawaza mke.
financial services wewe si mlinzi wa NMB pale vingunguti branch.
Njoo apa
komesha korona
Mke ameshapata, hatimaye na sisi mgambo wa jiji tumefikiriwa namfata soon😀Subiri tumalizane na korona kwanza. Watu tunapigania uhai wewe unawaza mke.
financial services wewe si mlinzi wa NMB pale vingunguti branch.
Njoo apa
komesha korona
Njoo unilinde mimi bana.Mke ameshapata, hatimaye na sisi mgambo wa jiji tumefikiriwa namfata soon[emoji3]
Nakuja mkuu, ngumi jiwe tu inatosha kukulinda,hamna mtu atakusogelea😀
Mke ameshapata, hatimaye na sisi mgambo wa jiji tumefikiriwa namfata soon[emoji3]
[emoji16] [emoji16] eti "ngumi jiwe"Nakuja mkuu, ngumi jiwe tu inatosha kukulinda,hamna mtu atakusogelea[emoji3]
Ohoo, mkuu niko vizuri sana 😀[emoji16] [emoji16] eti "ngumi jiwe"
Mikono laini hiyo ngumi jiwe itoke wap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo, mkuu niko vizuri sana 😀
Nilitaka kukushauri uende taifa queen ukachukue Kuna walinzi wazuri pale mabeki hodariIdara ya ulinzi kiaje yani mimi sijaelewa
Limeharibika mkuu, nategemea ngumi tu sahivi😀Mkuu huna hata gobore?