Kucheat n tabia ya mtu na kuna watu tabia hizo wanaendelea nazo hadi wanazeeka na kupotea kwenye uso wa dunia. Usijichanganye.Nimeweka masharti ya watoto wengi nikiamini kuwa huyu mwanamke atakua kaisha maliza tamaa za ku cheat na atabaki na mm tu.
Yupo mwenye wawili ila moyo wake umeshapondeka sana, ni mtulivu.Mkuu inamjua yyt mwenye watoto watano+ anaye taka kuolewa?
Ujana hauachwi kwa kuwa na watoto wengiWawili hapana
Bado hajaacha ‘ujana’ huyo
Ngoja nmwambie sativa😂😂Hivyo basi mm Malafyale
Aaaah😂😂😂Wawili hapana
Bado hajaacha ‘ujana’ huyo
Kuna mmoj yuko hapa ana watoto 5 kazaa wanaume tisa. Huyu anakufaa sana. Njoo inbox.Kichwa cha habari chajieleza.
Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa.
Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye tayari kuolewa na mm awe na watoto angalau wa 5 au zaidi,na haijalishi hao watoto kazaa na wanaume wangapi.Awe tayari kunipa mm pia angalau watoto wawili ktk uzao wetu.
Nimeweka masharti ya watoto wengi nikiamini kuwa huyu mwanamke atakua kaisha maliza tamaa za ku cheat na atabaki na mm tu.
Kama upo interested au kama unamjua dada yyt mwenye sifa hizo, tafadhali niandikie hapa ktk inbox yangu
Malafyale Ogwa Ndima
Ipinda-Kyela vijijini
Ya leo kaliKichwa cha habari chajieleza.

yupo ninayemfahamu ni mstaarab sana ana watoto watano hakika utakuwa umepata moja katiya wanawake bora kabisa,kama kweli upo interested nifuate inboxKichwa cha habari chajieleza.