BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
no comment loh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi kiroboto si unamaanisha yule wamjengoni?
if yes si kweli hajaolewa na wala hana mume
ame adopt watoto 2, ana mwanaume flani kigologolo ctaki kumtaja.
lakini mama kiroboto age yake imepitiliza kiwango cha menopause ndo maana haachi kuripuka kutokana na disturbance zza upungufu wa hormone zinazomletea stress mara kwa mara
hivyo, bi kiroboto kwangu si mke labda awe shungamammy ambavyo vyote havina nafasi kwangu
hata hivyo japo sina kipimo sidhani bi kiroboto kwa matukio yake ya kuretain ubunge anakidhi viwango vya ulokole!!
Mhhhh?Sasa ndo Umefunuliwa na roho? au?maana hilo Tangazo halifanani na mtu aliyeokoka kabisaaa.....Jaribu tena baadae..
Mbona requirements/ criteria zinaonesha unataka asiyekuwa mlokole!
mmmh, yaani natamani kukuchanganua, ila basi tu.
Good luck
Mimi ni Muislamu safi, niliyeokoka, sifa zote ninazo lkn ni mlokole wa kiislamu!!!
Je ninakufaaa?? km ndiyo, twende kwa PM.
Mimi sifa zote ninazo lakini kwetu tuna historia ya ukichaa itakuwa kikwazo?
Halafu mbona hujaelezea unapendelea wajihi gani, hata wenye mahips tumboni utawakubali?
Habari kwenu wana JF.
Nimekuwa nikijiuliza kwa mda hivi ya kwamba ndani ya GT yupo mdada aliyeokoka? kama ni kweli tafadhali fuatilia maelezo haya na kama yamekugusa usisite kufanya kile ambacho moyo wako utakusukuma kufanya.
Natafuta mchumba, nataka tuoane, ikiwa tu tuta match na fixn baina yetu na ikiwa tu Mungu anaweka kibali chake.
IKUMBUKWE KWAMBA, MARRIAGE ARE MADE IN HEAVEN what wa do ni kuthibitisha kile kilichokwisha andaliwa.
Unaweza kutaka ujue mimi ni mwanaume wa namna gani, usiwe na haraka, kabla ya hapo ntapenda nikufahamishe aina ya mrembo ninayemhitaji ili ukijikuta unaelekea kwenye sifa hizo then utawajibika kunijua mm ni nani na kisha tujenge mahusiano ya awali kuelekea kunako.
Aina ya mdada huyo ni sharti awe ndani ya ABCD.... zangu kama ifuatavyo:
SHARTI la kwanza ni LAZIMA awe ameokoka: kama mm na kama ambavyo nuru havichangamani na giza, Unaweza kutaka kupritend katika hilo but I sure it wont work out, then u better dare not.
KIGEZO A: Age
Napendelea kuwepo interval ya atleast 10 yrs hivi, hivyo umri wako u range kati ya miaka 25 na 35.
KIGEZO B: BEHAVIOUR
KIGEZO C: CHARACTER na
KIGEZO D: DISCIPLINE
Vigezo vyote vitatu kwa pamoja vinavunjwa na yule aliyeokoka kiukweli maana so long you are saved, you become shaped on that kwa viwango vinavyokubalika kibinadami na kiMungu. Hivyo tabia, mwenendo na adabu vinatengenezeka kwa Yesu tuu.
KIGEZO E: EDUCATION
Kiwango cha elimu flani si kigezo ila ni vizuri na inanipendeza kuwa na mdada flani aliyepitia kwenye vidato flani na vyuo kadhaa ikiwezekana. Actually shule ni muhimu sana kwangu. Pia si lazima awe mfanyakazi kwa sasa but ni vizuri awe kwenye position ya kuwa na kazi.
KIGEZO F: FAMILY HISTORY
Ntapenda nifaham familia yako kiundani dhidi ya mahusiano ya ndani na jamii inayowazunguka, Uwepo wa magonjwa ya urithi nk. siyo lazima sana lakini ni jambo zuri ninalolizingatia .
KIGEZO: GENERAL MORPHOLOGY
Mdada huyu ni vema awe mzuri au mtanashati na mrembo kwa kiwango cha tafsiri yangu na kiwango kile cha jumla. Ni jambo gumu kulielezea maana sometimes liko embarassing but ni zuri na linaeleweka mno kwa wengi.
Naelewa inaweza kuwa vigumu kukupata wewe kwa kufikia 100% ya vigezo hivyo; hata hivyo, dont hestitate, vigezo hivyo will always be regulated just in case kitu LOVE kimetamalaki!
Hali kadhalika, kwa kuwa hata wewe unaweza kuwa na vigezo vyako; nitakupa kwa kifupi juu yangu, umri wangu unaelekea miaka 40, urefu wangu ni sentimeta 165 hivi, rangi yangu nasikia ni maji ya kunde, m sijui; nimeajiriwa in medical field na pia wakati huohuo niko chuo nasomasoma flan. Kubwa zaidi ya yote NIMEOKOKA!
PLZ, KARIBU SANA!
Nakutegemea mno if in case umegundua tunaweza kumatch na kufixn in one another.
Mimi sifa zote ninazo lakini kwetu tuna historia ya ukichaa itakuwa kikwazo?
Halafu mbona hujaelezea unapendelea wajihi gani, hata wenye mahips tumboni utawakubali?
Mbona requirements/ criteria zinaonesha unataka asiyekuwa mlokole!