Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
HahahaAya namba A zimepata mkombozi
Dah sio fresh kusema hivyo. Nakusemea kwa mkeoAya namba A zimepata mkombozi
Mungu amesikia kilio chakoHahaha
Nina shangazi yangu ana 45, nikuunganishe nae.Ana mapengo mawili tuDah sio fresh kusema hivyo. Nakusemea kwa mkeo
Hiyo nikuanzia kilometers milioni.Aya namba A zimepata mkombozi
Wapo Mkuu....40 ana mtoto kamzae mwenyewe na mwekeé kidonge Cha utasa alalfu umuoe
Kila kitu IMANIWale wanawake ambao umri wao upo zaidi ya 35, na hamjaolewa msijisikie vibaya siku yako inakuja na utaolewa. Tazama huyu mleta mada anatafuta wa miaka 40, usikate tamaa. Tena hawa hawana vipengele kama wa miaka ishirini na zaidi kwa kuwa wameshaona shida ya bila mwenza.
Tafuta mwanasaikolojia utibu changamoto ya afya Yako ya akiliTAfta hella maskini ww
AsanteKila la kheri Mtu Poa 2013