Natafuta mke lakini awe usalama wa taifa, askari wa wanyamapori au kondakta wa mabasi ya mikoani

Natafuta mke lakini awe usalama wa taifa, askari wa wanyamapori au kondakta wa mabasi ya mikoani

Hivi ndugu zetu mnafeli wapi!? Ni muendelezo wa kufeli tu! Kaka zenu tulifeli tukiwa kwenye umri huo nanyi pia mnafeli katika kizazi hiki ambacho mnatakiwa mtumie akili tu tofauti na sie ambao tulikuwa tukitumia nguvu! Kweli ng'ombe wa maskini hazai!!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Unataka mwanamke wa kiume... Si mtakua wanaume wawili sasa... Ila angalia tu usije kuanza kwenda kuoga huku umevaa chupi kichwani...
 
Beira Boy, Hao wote uliowataja ni kutaka ili uwe free kuchepuka! Maana wote ni watu wa kutoka kila siku.
Ila nakutahadharisha kwa mwanajeshi!

Niliwahi kuwa na demu mwanajeshi, alichomfanyia mchepuko wangu! Mungu anamuona aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Nikickek umuri wangu sasa naenda kugota 25 hivyo nahitaji mwenza wa kuwa naye maishan mwangu

Lakin siyo tu nahitaji mwenza bali nahitaji mwenza mwenye sifa ninazo zitaka mimi

Mimi huwa napenda sana hawa wadada makondakta wa mabas ya mikoan kwakweli nawapenda sana watu hawa

Sifa za mwanamke ninaye mtaka

Awe shabiki wa Chelsea hata kama hafatilii mpira lakin itabidi aanze tu kufatilia

Awe kapita jkt

Akiwa mwanajeshi sawa lakin awe aliye iva kimafunzo

Sifa kuu zaidi ni mbili kama siyo tatu

1 Awe afisa usalama wa taifa nitafurah sana nikioa usalama wa taifa maana nitamuombea sana kwa Mungu siku moja apandishwe cheo awe Afisa mkuu wa usalama wa taifa inchi nzima. Kwanini nitamuombea ili apandishwe cheo? Unajua lengo langu ni nini? Ni hili tu ili siku moja nije nimshaul aipindue nchi na yeye ndo awe rais wa nchi afu mimi niwe first father wa nchi

2 Awe askali wa wanyama pori

Unajua kwanini nataka awe askali wa wanyama ili akiwa anatoka polin anakuwa anakuja leo mara na upaja wa twiga kesho tena na upaja wa swala kesho yake tena na upaja wa simba yaan had raha si unajua tena zawadi ya demu ilivyo tamu

3 awe konda wa mabasi ya mikon
Unajua ukiwa na dem kondakta ni raha sana yaan leo unaweza letewa mahindi ya kuchoma ambayo kanunua huko njian kesho tena ukaletewa mkate kesho kutwa nanas yaan had raha aisee

Ukitizama hapo juu utagundua kwamba wanawake ninao wapenda ni watu wa masafa sana, unajua kwanini napenda wanawake wa Masafa? Sababu ni moja tu

Mimi huwa naona raha sana demu wangu akija usiku kwa kunishitukiza asiniambia kama atakuja nishitukie tu anagonga Mlango

Ngo ngo ngo hodi ngosha wangu hahaaaaa yaaan naonaga raha kishenzi

Bas ndo maana nataka usalama wa taifa akitoka minsion zake usiku nagongewa tu mlango kibabe kisha nafungua kibabe na mabusu ya kibabe kwa kwenda mbele

Afu kitu kingine napendaga sana kumkumbatia demu wangu tukiwa gheto afu kavaa gwanda yaan huwa nahisi kama nafanya mapenz na jeshi zima

Nb madem zangu nishaga wazui kuniita jina langu halisi au baby bali nishaga wambia tu wawe wananiita NGOSHA WANGU AU NGOSHA BABY

Mwenye sifa hizo karbu sana

Nakuhitaji zaid ya unavyonihitaji


LONDON BOY



Sent using Jamii Forums mobile app
Umevurugwa bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom