Natafuta mke lakini awe usalama wa taifa, askari wa wanyamapori au kondakta wa mabasi ya mikoani

Hivi ndugu zetu mnafeli wapi!? Ni muendelezo wa kufeli tu! Kaka zenu tulifeli tukiwa kwenye umri huo nanyi pia mnafeli katika kizazi hiki ambacho mnatakiwa mtumie akili tu tofauti na sie ambao tulikuwa tukitumia nguvu! Kweli ng'ombe wa maskini hazai!!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Unataka mwanamke wa kiume... Si mtakua wanaume wawili sasa... Ila angalia tu usije kuanza kwenda kuoga huku umevaa chupi kichwani...
 
Beira Boy, Hao wote uliowataja ni kutaka ili uwe free kuchepuka! Maana wote ni watu wa kutoka kila siku.
Ila nakutahadharisha kwa mwanajeshi!

Niliwahi kuwa na demu mwanajeshi, alichomfanyia mchepuko wangu! Mungu anamuona aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umevurugwa bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…