Natafuta mke makini haswa

Natafuta mke makini haswa

Gus Fring

Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
18
Reaction score
48
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha.
Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa.

Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
~ Umri miaka 25 kushuka chini
~ Mweupe
~ Elimu yoyote tu
~ Kabila lolote tu
~ Awe Mkristo
~ Awe na kazi au asiwe na kazi yote fresh tu
~ Asiwe kibonge

Mengine tutarekebisha.

Kwanini nimeamua kuja hivi? Well, nature ya shughuli nnayofanya imenifanya nimekuwa mtu busy sana, sikutani na watu wengi mara kwa mara, huwa sina outing au makundi makundi so sipati wasaa wa kukutana hata na mtu nikasema tuanzishe familia.

Pili nimeona watu wengi wanatoa ushuhuda kwamba mahala hapa walipata wake zao na sasa wanaishi kwa amani, nikasema ngoja na mie nijaribu bahati yangu ya Mungu mengi.

Naamini hii ni platform kama platform nyingine so kwa kupitia jukwaa hili na mimi ntapata mama wa watoto wangu then tutakuja kutoa ushuuda kwa watu wengine.

Binti mwenye sifa hizo please ni PM.

Asalaam Aleykum.
 
Back
Top Bottom