Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

Joined
Feb 19, 2022
Posts
11
Reaction score
8
Habari zenu ndugu,

Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa .

Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye
Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu
Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho
Awe anajitambua
Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea
Mwisho awe tayari kuolewa mwaka huu .
Kama ana mtoto asizidi mtoto mmoja, maana mtoto ni zawadi toka kwa Allah/ Mwenyezi Mungu.

Kwa aliye na sifa tajwa hapo juu na mwenye uhitaji wa mume kama mimi ninavyohitaji "mke" anitumie msg PM.

ASANTE SANA👏
 
Mafanikio mema
Asante sana, uzidi kuniombea ndugu yangu ili nipate "MKE" sahihi wa kinifaa maishani maana lengo hasa ni kujenga familia iliyo bora na sio bora familia.

Niombee tu nisije pigwa na kitu kizito hadi nikachanganyikiwa my dear; maana mimi kwa kweli nipo serious sana na hili jambo .
 
Huyo ni kafiri
Mkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa .
Kuwa na dini tofauti haimanishi kuwa mmoja ni bora kuliko mwingine,

Sisi sote binadamu Mungu wetu ni mmoja tu ijapokuwa tunatumia dini tofauti katika kumuomba Mungu / Allah.

Kama nimekukwaza nakuomba unisamehe japo sio kusudio langu kukukwaza.

#Sote ni watoto wa Mungu mmoja katika Dunia moja.
 
Acha kulamba matapishi yako mwenyewe shehe ubwabwa!

Kwenye title ya uzi penyewe ume-specify kabisa mwanamke lazima awe Muislamu tu!

Sasa mimi kukujulisha kuwa huyo sio Muislamu nimekosea wapi?

Fala wewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamn manen hayo kwa ustadh tena[emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulamba matapishi yako mwenyewe shehe ubwabwa!

Kwenye title ya uzi penyewe ume-specify kabisa mwanamke lazima awe Muislamu tu!

Sasa mimi kukujulisha kuwa huyo sio Muislamu nimekosea wapi?

Fala wewe!
Asante sana👏👏🏼
 
Back
Top Bottom